strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,305
Hawa nyuki walifuata gari hili kwa siku mbili ili kumuokoa malkia (Queen bee) ambaye alikuwa amekwama ndani.
Mwenye gari hili, Carol Howarth,alimbeba malakia wa nyuki hawa kutoka kwenye hifadhi moja nchini Marekani.Ingawa wataalama waliwaondoa nyuki hao kwenye gari, walirejea tena siku ya pili. Haijaelezwa hatima ya malkia lakini kwa mara ya tatu wataalam walifanikiwa kuwaondoa nyuki ambao waliuma watu kadhaa.