Umeona nini hapa mtanzania mwenzangu?

strong ruler

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
4,921
3,305
4845e96d658c8616a389738ea3c6ed64.jpg
 
Hii kama sikosei ni maeneo ya vigwaza chalinze chalinze huko.yaani huko si ajabu kukuta chata hizo basi mazingira yao dunii wala hawajitambui.
 
monduli pia kuna za tembe kabisa
Usi-panic,sikuuliza ni wapi mimi acha kuweweseka na hata kama hayo ni mandhari ya kwenu nendeni mkusanyane mkae vikao mumtafute mchawi wenu ni nani pia kumbuka nyumbani ni nyumbani huwezi kupakimbia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom