strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,305
1.Mdudu huyu aitwaye Polychaetes anaishi katika kina kirefu baharini.
2.Papa aina ya Goblin ana pua ndefu na meno makali.
3.Huyu ni konokono wa baharini wenye umbo la kipepeo (Thecosomata)
4.Huyu ni samaki aina ya frogfish mwenye manyoya mengi anayeishi katika mlango bahari wa Lembeh, Indonesia.