strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,305
Wakuu kwa wale wasio mfahamu ndugu yetu Lugumi taiz zake awapo barabarani ama katika matembezi yake ya kila siku, leo asubuhi hii nimefanikiwa kunasa picha hizi kwa kutumia camera yangu ya kijasusi. Hizi picha nimezipiga maneo ya nkurumah road kwa siri na kwa umakini mkubwa sana na kwa umbali wa mita 200 hivi sababu kama mnavyo waona hao walinzi na maV8 hapo kwenye picha wakikukamata lazima utage. Hapa lugumi alisimama kukojoa Mto mirongo Jirani na Azania Bank.