strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,305
Ujenzi wa jengo lenye mita 452 unaendelea katikati mwa China.
Malori yanayobeba vyuma vinavyohitajika yakiunganishwa, urefu wake utafikia kilomita 29. Wafanyakazi wamepangwa zamu tatu kila siku, ili ujenzi uendelee bila kusita.
Wakitoa jasho wakiwa juu, wanamaliza ujenzi wa mwundo wa chuma wa ghorofa moja kila baada ya siku 3.5.