Search results

  1. mumak

    Urusi isipomtoa madarakani Rais Zelensky wa Ukraine, hii Vita haitoisha

    Katika muendelezo wa mapambano huko Ukraine tumeona Urusi inavyopata ushindi kwa tabu sana kutokana baadhi ya nchi za magharib kuendelea kumpa siraha rais wa ukraine kitu ambacho kitafanya hii vita ichukue mda mrefu sana. Hivyo Basi kama Putin hatofanya maamuzi ya haraka kumkimbiza yule...
  2. mumak

    Kijana mwenye ujuzi wa kuandaa michoro ya 3D anaitajika haraka.

    Tunaitaji kijna mwenye ujuzi wa kuandaa michoro ya 3D, Sifa asiwe mwajiriwa sehemu yeyote pia awe teyari kufanya kazi na ktk ofisi yetu Kama mwajiriwa.aliyeteyari tuwasiliane inbox.
  3. mumak

    Msaada nimepoteza ladha ya chakula na harufu

    Ndugu zangu takriban nina siku mbili Sasa nimekosa kuhisi harufu Wala laza ya chakula ingawa leo kidogo laza imekuja kwa mbali snaa ila harufu bado sijaweza kuhis nitumie dawa gan?
  4. mumak

    Mtaalamu wa kuandaa michoro ya 3D anahitajika

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka anaitajika mtu mwenye uwezo wa kuandaa michoro ya picha. Sifa uwe na PC pia uwe na speed ya kuandaa michoro isiyopungua mitatu kwa siku Kama unajiona unaweza basi tuwasiliane kwa namba 0783598512
  5. mumak

    Trafiki mliopo Mikumi na Kidatu tunaomba mlikague basi Kidinyilo

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu naomba traffic mliopo njiani mlikague hili basi spring za mbele zina viraka zote hivyo kuweza kuhatarisha usalama wa abiria na tayari zimeanza kuvunjika. Ndugu yangu amekaa garage kwa masaa zaidi ya matatu wakisubiri ziungwe tena ili safari iendelee.
  6. mumak

    Massage chairs zinahitajika

    Habari zenu wadau, naomba mwenye kujua wapi naweza kupata viti vya massage naomba anijuze bei na wapinaweza kuvipata. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mumak

    Nahitaji chumba na sebule maeneo ya Makongo Juu/ Kimara/ Riverside

    Wadau nahitaji vyumba viwili yaani chumba sebule choo cha kujitegemea hàta isipokua master, kodi 80 pia kisiwe mbali na barabara
  8. mumak

    Nyumba inàpàngishwa kawe

    Nyumba inàpangishwa self container Inàvyumba vitatu kimoja master,parking kubwa luku na maji yapo ,nyumba IPO karibu na kituo cha dalàdalà na kanisa la mwamposa,kodi 300,000/ 0713507156 au 0684874573
  9. mumak

    Naitaji maderi ya kuhifadhia vinywaji baridi

    Habari wadau?kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu,mwenyekufàham yanapouzwa maderi ya kuhifàdhià vinywaji baridi naomba anijuze aina ya madeli yawe kama ya AZAM UKWAJU yenye kubebeka,ntashukuru kwa ushirikiano wenu,
  10. mumak

    Naitàji maderi ya kuhifazi vinywaji baridi

    Wadau kama kichwa cha habari kinàvyosema natafuta maderi ya kuhifazia vinywàji baridi yawe ya kuyavaa mgoñgoni au kifuani mfano kama Yale wànayouzia AZAM UKWAJU.Mwenye kufàhm yanapopàtikàna naomba anijuze please.
  11. mumak

    Sheria zetu za ajira kati ya Znz na bàra ziangariwe upya

    Kama kichwà cha habari kinavyosema hakika kunakitu hakipo sawa kwàmawàzo yangu kuhusu sherià ya ajira Hapa nçhin ,hakuna asiyejua kwa sasa ajira zimekua shida hapa kwetu husan ktk sekta ya elimu ,jambo la kuumiza wenzetu kule pwani Zanzibar wàmetangaza ajira lakini wameweka mashàrt lazima uwe...
  12. mumak

    Wanaitajika vijana katika nafasi za marketing

    Kama wewe ni kijana umemaliza form four au six huna ajira Na upo teyari kufanya kazi za masoko hapa daresalam tuwasiliane kabla tar 14/January wasichana watazingatiwa 0712804065 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mumak

    Nyumba ya vyumba viwili Na subere,inapangishwa

    Kwa Mwenye kuitaji Nyumba ya Nyumba viwili kimoja master Na sebure kubwa inapangishwa KAWE,Nyumba inaumeme,MAJI,pia IPO karibu Na Barabara Mkuu dk 3 hadi nyumbani,kodi 200,000/ inaongereka kidogo 0718721295 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mumak

    Nyumba,nyumba ,Nyumba,

    Kwa Mwenye kuitaji Nyumba ya kupanga maeneo ya KAWE tuwasiliane,Nyumba inavyumba 2 sebure Na Choo master Umeme Na MAJI kaibuni kodi tsh 200,000/ kwa mwezi anapokea hadi miezi 6.Na inazungumzika pia.0718721295 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mumak

    Dawasco bomba linamwaga maji ovyo.

    Habari zenu wana jf,naomba niwape taarifa kampuni ya maji safi dawasco kwamba kuna bomba lao limepasuka hapa nyerere road opposite na kampuni ya sigara karibu na ofisi ya UBA linamwaga maji mengi sana leo ni siku ya nne kama sio tano kwahyo mje kulilekebisha.asnteni.
  16. mumak

    Taitaji nikaoe tanga

    Wanandugu salam kwenu,nataka niende tanga nikatafute mke lakini bado sijajua ni tanga ipi inawanawake wazuri,kianzia sura,tabia,na maumbo na sifa zingine zote zinazostahili kua nazo?
  17. mumak

    Tupeane mlejesho tulioomba MDH

    wadau kwa wale walioomba nafasi za kazi ktk NGO( MDH )tupeane mrejesho kama wameshaita au lah wengine tupo mikoani.
  18. mumak

    Serikali kuajiri walim wa digree kufundisha primary

    Habari zenu wadau hivi ule mpango wa serikali wa kutaka kuwaajiri walim wa digree kufundisha primary umeishia wapi maana tumekua tunausubili kwa hamu sanaa bila mafanikio,sasa kama kuna mtu anaweza kua na ABC za kutufariji atueleze hapa.
  19. mumak

    Naembeni kuuliza wadau

    Habari zenu wadau:hivi ule mpango wa serikali kuajiri walimu wa digree kwenda kufundisha primary uliishia wapi? Maana tunasota sana kitaa kazi hamna,mtaji hamna,fani inatutoka basi tunachanganyikiwa tu.
  20. mumak

    Karibuni mate fernitures kwa bidhaa bora za nyumbani

    Kwa mahitaji yako ya ferniture za nyumbani karibuni mate fernitures upate bidhaa bora zenye warrant kubwa na kuretewa hadi ulipo 0783598512
Back
Top Bottom