Wow! Hornet nakuja kupanga kwakoKipo kimara
Kipo kimara
Chumba kinatakiwa na kikidhi vigezo pesa ni baada ya kuona ubora wa nyumba na premises(location)
Kama unahitaji chumba maeneo ya Riverside,kwa mzee wa Upako,Jemskona,Novo,mabibo hostel ,Makoka tuwasiliane ila kama kawaida. uandae posho ya mwezi ya dalali.Dada nahitaji chumba (master) na sebule, maji, umeme visiwe vya kuchsngia watu wengi.
Maeno kona, baruti, bucha, korogwe, kimara mwishi na stop over.
Umbali walau dakika 10 kutoka mwendo kasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unahitaji chumba maeneo ya Riverside,kwa mzee wa Upako,Jemskona,Novo,mabibo hostel ,Makoka tuwasiliane ila kama kawaida. uandae posho ya mwezi ya dalali.