Naitaji maderi ya kuhifadhia vinywaji baridi

Naitaji maderi ya kuhifadhia vinywaji baridi

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,069
Reaction score
670
Habari wadau?kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu,mwenyekufàham yanapouzwa maderi ya kuhifàdhià vinywaji baridi naomba anijuze aina ya madeli yawe kama ya AZAM UKWAJU yenye kubebeka,ntashukuru kwa ushirikiano wenu,
 
una maanisha yale yako kama mabegi au yale yanayobebwa mkononi?
hapa ndio tunashindwa kumsaidiaa, maana asaiv kuna yale yaliyojaa yakuvaa shingoni linakuja kifuani/tumboni hasa ya ukwaju sasa sijui ndio hayo au laaa
 
hapa ndio tunashindwa kumsaidiaa, maana asaiv kuna yale yaliyojaa yakuvaa shingoni linakuja kifuani/tumboni hasa ya ukwaju sasa sijui ndio hayo au laaa
Ndio hayo mkuu
 
Yapo bei kuanzia 40,000 na kuendelea..
 
Back
Top Bottom