Nyumba ya vyumba viwili Na subere,inapangishwa

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,069
Reaction score
670
Kwa Mwenye kuitaji Nyumba ya Nyumba viwili kimoja master Na sebure kubwa inapangishwa KAWE,Nyumba inaumeme,MAJI,pia IPO karibu Na Barabara Mkuu dk 3 hadi nyumbani,kodi 200,000/ inaongereka kidogo 0718721295
IMG_20190107_162553.jpeg
IMG_20190107_162601.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona sebure na chumba vimeungana hapo picha ya pili.
Mbili: rangi ya vyumba zinatofautiana.
Tatu: umesema chumba kimona master. Je mtu anaelala chumba cha pili choo chake wapi. Hakuna choo cha public????
Muige dalali Tunzo namna ya kuweka matangazo, japo na yeye ana mapungufu yake kibao.
 
Mi nikitaka kupanga subere peke ake pesa ngapi mkuu...?. Ahsante.
 
Hiyo nyumba haina choo wala jiko?? Ina vyumba viwili na sebure tu. Unategemea watu wakakunye wapi??

.
 
Naona sebure na chumba vimeungana hapo picha ya pili.
Mbili: rangi ya vyumba zinatofautiana.
Tatu: umesema chumba kimona master. Je mtu anaelala chumba cha pili choo chake wapi. Hakuna choo cha public????
Muige dalali Tunzo namna ya kuweka matangazo, japo na yeye ana mapungufu yake kibao.
Choo kipo kwa nje ila Nyumba IPO ndani ya fence inajitegemea mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona sebure na chumba vimeungana hapo picha ya pili.
Mbili: rangi ya vyumba zinatofautiana.
Tatu: umesema chumba kimona master. Je mtu anaelala chumba cha pili choo chake wapi. Hakuna choo cha public????
Muige dalali Tunzo namna ya kuweka matangazo, japo na yeye ana mapungufu yake kibao.

Mama Debora muache jamaa afanye biashara yake, kama haijakuvutia ww unapita tu! Hivi mpaka leo haujapata nyumba tangia mwaka jana mwezi wa nane?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom