Search results

  1. B

    hivi uchawi kwenye mapenzi upo?

    Habari za skukuu wapendwa! Natumai mmeenjoy vya kutosha Back to the topic!!!!!! Hivii kweli mtu anaweza akamroga mwenzake ili ampende?? Leo asubuhi nimekuta msg kwenye inbox Fb yangu from this dude, nsingependa kumwongelea sana; inasema hivii "Wallahy km utaendelea hv me bora...
  2. B

    strong desire to have sex andi'm a virgin. what do i do?

    so I'm a Christian and my belief is to not have sex before marriage, but i'm 22, never had a bf, and having a strong desire to have sex and it's getting worse, to the point that i want to get together with any random guy and just have sex to get it over with a feel good. but then i don't...
  3. B

    Voda mnanichosha jamany

    Yani kusema la ukweli Voda nimewachoka! network zenu zipo very poor, nikituma msg inagoma kwenda eti "network conjestion" Naeza nkamtext mtu msg ikafika baada ya masaa wkt simu ya huyo mtu IPO on Mtu anaeza akanitxt msg ikafika baada ya siku 3 Voda mnanikata stimu Daah nimechoka
  4. B

    Maneno Kuntuuu

    "I'm here to tell you, though, ladies that the term "gold digger" is one of the traps we men set to keep you off our money trail; we created that term for you so that we can have all our money and still get everything we want from you without you asking for or expecting this very basic...
  5. B

    Binadamu Binadamu

    Hivi huyu kiumbe sijui aliumbwaje kwa kweli! Cha Kwake mwiko cha kwako anakitaka kwa juhudi zote Wallah nimetibuka hadi usingizi umekata
  6. B

    hawa mbona wamepotea??

    @Figanigga na Washawasha mzee WA "nalog off" Siwaoni hawa majamaa au ndo wanashinda pm Hayya mtawafikishia salamu zao ........Mia
  7. B

    huyu mwanaume ananishangaza

    Tunafahamiana mda sasa Ni rafiki yangu wakaribu sana na tunashirikiana ktk mambo mengi We are so very close kiasi kwamba ishu zake zote nnazo mimi, na zangu anazo akigombana na girlfriends zake mie ndo naombwa ushauri, ntafanyaje kama rafiki siwezi kumuhukumu eti ana wapenzi wengi coz...
  8. B

    10 facts about Somali women

    1. They are the most beautiful women in the world Ntarudi
  9. B

    Gazeti la Tanzania Daima toleo la tarehe 3 desemba 2013

    Habari zenu Nna shida kweli na gazeti tajwa hapo juu, Anyone who could help I'd really appreciate My thanks in advance
  10. B

    wakali WA bios saidieni hapa

    Hili swali linanichanganya, nimejaribu ku-google sijapta jibu linaloelewekaa Nawasilisha kwenu wasomi "What are the biological significance of protein being amphoteric in living organisms??""
  11. B

    Wana MMU huyu jamaa kapotelea wapi?

    Habarini zenu wadau Hivi huyu jamaa Mazabzab (sujui kama nimepatia jina lake) A.K.A mgegedaji maarufu yuko wapi siku hizi Simuonagi humu Au ana I'd mpya? Aisee kama upo know. That your being missed lol NB kabla hamjamake conclusion zenu nimemiss michango yake tu.
  12. B

    Mnanichosha

    Unakutana na mtu jinsia tofauti Anakuomba # ya simu, Katika dunia ya sasa kumwambia mtu huna simu ni uongo usio Hata na chembe ya aibu Huna jinsi unatoa tu kishingo upate Anaanza kukutafuta Mnachat Mnazoeana Kama mwanamke anaanza kukutangazia shida zake Mara oo...
  13. B

    Sex Chat

    Hii kitu inaniboa sana Usichat na jinsia tofauti tu basi kosa, akikuzoea Mara aanze I want to lick u, Mara oo umevaa nini, sijui umelalaje Jamanyy hizi social media zimenichosha coz ya hii kitu We kama unataka game just tell me Tupange date Ishu za kutiana genye zisizo na...
  14. B

    This song saved my life today : DEDICATION

    I can say today was a dark day for me, thank God imepita Kama sio dis song nahisi ningefanya maamuzi ambayo ningejutia sana Always remember wenever u face an an impossible situation "Ther is a hero inside ur heart" Dedication MARIAH CAREY-HERO There's a hero If...
  15. B

    Physics V/s Geography

    Habari zenu wasomi wetu Hivi Kati ya physics na geography ni somo lipi unaweza kumshauri mtu kulisoma advance level?? Napiga PCB alaf kama physics haisomeki Kabisaaa kwangu, najaribu kufikiria kuopt geography , maana sioni sababu ya kusoma kitu ambacho ntaambulia F mwisho WA...
Back
Top Bottom