Search results

  1. Mwanaharakati2013

    Nahitaji smartphone

    Nahitaji smartphone budget yangu ni 150,000. Mwenye nayo anitumie specifications zake. Thanks
  2. Mwanaharakati2013

    TFDA - Food Registration Officer Interview

    Waungwana naomba kuuliza ambao wamepigiwa simu kwa ajili ya interview Taasisi ya Chakula na Dawa mjitokeze tupeane support
  3. Mwanaharakati2013

    Nahitaji mwenye contact za wadada wa Malawi

    Habari za asubuh wakuu... Naombeni msaada wa jinsi ya kuwapata wadada wa Malawi. Lengo ni kwa ajili ya kusaidia shughuli za nyumbani kwa aunt yangu. Nasikia wapo wengi maeneo ya tegeta ila sina pa kuanzia. Msaada wenu plz
  4. Mwanaharakati2013

    Naomba msaada touch screen inagoma ku-respond

    Wanabodi naomba msaada simu yangu ya Samsung galaxy mini s5570 ime freeze for two days now. Inawaka na kuzima kama kawaida ila tu touch screen hairespond. Nimejaribu kufanya hard reset sifanikiwi maana hainiletei hyo option. Nimeclick volume button plus power bila mafanikio. Any help plz...
  5. Mwanaharakati2013

    Uhamisho wa kituo Wizara ya Afya

    Habari wakuu. Naomba mwenye kujua utaratibu wa kufuatilia uhamisho wizara ya afya anijfahamishe. Je ni nani anayehusika pale ninayepaswa kumwona? Plz mwenye uelewa naomba unisaidie ili nishughulikie tatizo langu hili.
  6. Mwanaharakati2013

    Wanaohusika kupanga nafasi za kazi utumishi

    habari wadau,naomba kuuliza hivi wanaohusika na lupanga vituo vya kazi ni wizara husika au utumishi? na je kama ninataka kuomba kubadilishiwa kituo cha kazi ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? naombeni msaada wenu wakuu.
  7. Mwanaharakati2013

    NHIF Updates

    Hello... Naombeni kujuzwa Kama kuna MTU ana taarifa zozote kuhusu matokeo ya oral interview anijuze. Than.
  8. Mwanaharakati2013

    Samsung mini laptop adapter needed urgently

    Wakuu nahitaji hyo kitu haraka Sana maana yangu imeibiwa na nna kazi ya kufanya haraka. Kwa anayejua wapi naeza pata anijulishe plz. Thanx
  9. Mwanaharakati2013

    Samsung mini laptop adopter needed urgently

    wakuu nahitaji hyo kitu haraka Sana maana yangu imeibiwa na nna kazi ya kufanya haraka. kwa anayejuwa wapi naeza pata anijulishe plz. thanx
  10. Mwanaharakati2013

    jiko la kuchoma kuku lunauzwa

    jiko linauzwa la much la kuchoma kuku. Lima uwezo wa kuchoma kuku 12 kwa nusu saa. linatumia gas. Lina kioo kwa mbele hivyo linaonyesha kuku wakuzunguka kwa mbele. Limetumika mwezi mmoja tu na limetengenezwa Italy. Bei ni sh.1.8m. nipo Dar. kwa anayehitaji tuwasiliane tufanye biashara...
  11. Mwanaharakati2013

    Mkopo wa 5million

    Habari wakuu, Mimi nina restaurant ipo kwenye eneo ambalo ni very potential. ninahitahi mkopo wa million tano. naweka dhamana ya biashara yangu na vitu vyote. Naomba mnifahamishe ni wapi naweza pata mkopo huo kwenye bank au hata MTU binafsi aliye tayari kunikopesha. natanguliza shukrani.
  12. Mwanaharakati2013

    Interview ChildFund Alliance

    Habari wakuu...samahani naomba mnijuze kuna email nimetumiwa na hii org kuwa natakiwa nifanye Aptitude test na wakanipa link ya centres ambazo nikishalipia wananitumia online test nafanya nawatumia wasahihishe. Je kuna mtu anaweza share experience na mimi kuhusu hii kampuni na ofisi yao ipo...
  13. Mwanaharakati2013

    Msaada jinsi ya kuroot Huawei Ascend Y300

    habari wakuu.. naomba msaada jinsi ya kuroot hii simu Huawei Ascend pia niweke custom ROM. cc: C6 chief-mkwawa NingaR C++ Etc etc plz help Shukrani Sana.
  14. Mwanaharakati2013

    interview UDA

    wakuu zile kazi za UDA wameshaanza kuita watu kwenye interview.. mlioomba mkae mkao wa kula.
  15. Mwanaharakati2013

    brand new mini laptop inahitajika haraka

    wakuu.. kwa wauzaji wa laptop ninahitaji mini laptop kwa muuzaji yeyote anipe specifications na bei. ni kwa matumizi ya kawaida tu sina matumizi makubwa nayo. Natanguliza shukrani.
  16. Mwanaharakati2013

    Huawei Ascend Y300

    Naomba kujuzwa bei ya hiyo simu dukani.. Asanteni.
Back
Top Bottom