Mwanaharakati2013
Senior Member
- Sep 29, 2013
- 170
- 15
Wanabodi naomba msaada simu yangu ya Samsung galaxy mini s5570 ime freeze for two days now. Inawaka na kuzima kama kawaida ila tu touch screen hairespond. Nimejaribu kufanya hard reset sifanikiwi maana hainiletei hyo option.
Nimeclick volume button plus power bila mafanikio. Any help plz.
NB. Nikipigiwa inaita sema kupokea siwezi maana hairespond.
Asanteni sana wadau.
Nimeclick volume button plus power bila mafanikio. Any help plz.
NB. Nikipigiwa inaita sema kupokea siwezi maana hairespond.
Asanteni sana wadau.