Samsung mini laptop adapter needed urgently

Mwanaharakati2013

Senior Member
Sep 29, 2013
170
15
Wakuu nahitaji hyo kitu haraka Sana maana yangu imeibiwa na nna kazi ya kufanya haraka. Kwa anayejua wapi naeza pata anijulishe plz.

Thanx
 
Nenda kanunue kitu kinaitwa Universal adapter ambayo unachagua output voltage mwenyewe kulingana na power input ya laptop yako, afu ina pins kama kumi na mbili unabadilisha kulingana na laptop unayotaka, inaenda kwa 50K ambayo ni nafuu na utaitumia kwa devices tofauti hata simu pia, ubora nimeitumia zaidi ya mwaka moja sasa bila shida..
 
Asante zinapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom