Search results

  1. Henge

    Hii kitu ni hatari!

    kwanini uendelee kujiua??
  2. Henge

    Muhimbili hakuna umeme!

    Ndo natoka hapa muhimbili kumwona mgojwa huwezi kuamini hakuna umeme, na generator yao ni mbovu, sijui inakuwaje ndo maana wakinamwandosya wanaenda India! hii nchi watu wanaofikilia ni wachache sana inakuwaje umeme unakatwa na generator haifanyi kazi tena sehemu muhimu kama hii ni bora...
  3. Henge

    Aisee shule hizi!

    Kama kawaida, dogo katoka shule ile anafika tu home mother wake akamkamata na kuanza kumuuliza walichofundishwa... Kwa comfidence dogo akamjibu tumefundishwa hesabu kwa kiingereze, so mother akaanza maswali... Mother: TWO + THREE??! Dogo akaskuti kidogo then akajibu: "..SON OF A BITCH ITS...
  4. Henge

    Natafuta chumba cha biashara (stationary)

    Tafadhari wakuu mwenye kuwa na habari au kuwa nacho ani PM, Sifa kiwe karibu na ofisi, au shule! Tafadhari wakuu naomba msaada wenu!
  5. Henge

    Tumsaidie rais Kikwete

    Uchaguzi umekwisha salama! TUNAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU! Woote tunajua katika kipindi cha miaka mitano iliyopita maisha yalikuwa magumu sana! (toa Mafisadi) Woote tunajua uwezo wa JK ni mdogo kuliko maelezo, anamadhaifu mengi sana. Watanzania wenzangu tuache majungu sasa tujenge nchi yetu hatima...
  6. Henge

    Elections 2010 Chagua CCM, chagua Kikwete

    “Hapa sana sana ni Veta ambayo tuliahidi, lakini hatukuitekeleza. Sasa tutajenga katika miaka mitano ijayo, tutaweka umeme. Vijiji 13 vya jirani vitapata maji kwa kuwa Sh428 milioni zimetengwa kwa ajili hiyo. Kuhusu elimu tunategemea mwaka kesho (2011), kila mtoto awe na kitabu...
  7. Henge

    Elections 2010 Huu uvumi vipi!??

    Nimepata mail hiyo hapo chini nani anaweza kunidhibitishia ni saidieni wakuu sababu pressure inapanda nakushuka Kikwete apewa report ya kura za Slaa Habari zilizopatikana ndani ya kikao cha siri kati ya vigogo waandamizi wa usalama wa taifa,Kikwete na Kinana wiki iliyopita...
Back
Top Bottom