Chagua CCM, chagua Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chagua CCM, chagua Kikwete

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Henge, Sep 25, 2010.

 1. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  “Hapa sana sana ni Veta ambayo tuliahidi, lakini hatukuitekeleza. Sasa tutajenga katika miaka mitano ijayo, tutaweka umeme. Vijiji 13 vya jirani vitapata maji kwa kuwa Sh428 milioni zimetengwa kwa ajili hiyo. Kuhusu elimu tunategemea mwaka kesho (2011), kila mtoto awe na kitabu chake,” alisema Kikwete bila kufafanua sababu za kutojengwa kwa Veta.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  1.Kampeni za maji taka!
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Kikwete is very genius anasema hivyo kwa kuwa anajua watanzania wanadanganyika...
   
Loading...