Tumsaidie rais Kikwete


Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
6,865
Likes
153
Points
160
Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
6,865 153 160
Uchaguzi umekwisha salama! TUNAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU!
Woote tunajua katika kipindi cha miaka mitano iliyopita maisha yalikuwa magumu sana! (toa Mafisadi)
Woote tunajua uwezo wa JK ni mdogo kuliko maelezo, anamadhaifu mengi sana. Watanzania wenzangu tuache majungu sasa tujenge nchi yetu hatima ipo mikononi mwetu, mfanyakazi fanya kazi kwa bidii, mkulima lima kwa moyo woote, wanasiasa mshauliane pale nchi inapoelekea pabaya. Kumshutumu jk kwa sasa ni sawa na kuikabidhi nchi kwa mafisadi! kwani anahitaji faraja zetu na juhudi zetu kuendesha nchi hii na tukumbuke uraisi ni taasisi.
kama hatutampa faraja sisi ataipata kwa MAFISADI na hapo tutazidi kuiangamiza kabisaa nchi yetu.
NIMTAZAMO TUU!
 

Forum statistics

Threads 1,236,869
Members 475,318
Posts 29,270,366