Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,514
Kama kawaida, dogo katoka shule ile anafika tu home mother wake akamkamata na kuanza kumuuliza walichofundishwa... Kwa comfidence dogo akamjibu tumefundishwa hesabu kwa kiingereze, so mother akaanza maswali...
Mother: TWO + THREE??!
Dogo akaskuti kidogo then akajibu: "..SON OF A BITCH ITS FIVE.."
Mother: Whaaaat?? And FIVE + FIVE??!
Dogo kwa comfidence baada ya kuhesabu vidole dogo akajibu tena: ... "SON OF A BITCH ITS TEN..."
Kha...!! Mother kusikia hivyo akamkamata dogo akampa kipondo then mguu kwa mguu mpaka kwa teacher...
...
...
...
Mother: Haya we mwalimu mpuuzi umemfundisha nin mwanangu leo?? TWO + THREE ni ngapi??!
Teacher: Mh.. Mbona hasira hivyo??! Nways leo wamesoma hesabu kwa kiingereza ambako nmewaambia kama mfano 2+3 hapo ilitakiwa waimbe TWO + THREE FOR THE SUM OF WHICH IS FIVE... Kwani mwanao kasemaje??
Mother kimya...