Hii kitu ni hatari!

Hii kitu ni hatari!

Henge

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Posts
6,933
Reaction score
1,514
SIGARA.jpg
kwanini uendelee kujiua??
 
Mhh lakini tunaishi wengine kwa ajili ya hiyo tumbaku!!!!
 
mhh lakini tunaishi wengine kwa ajili ya hiyo tumbaku!!!!

tuangalie uhai wetu na pesa kipi zaidi, mnaweza kulima mazao mengine mkuu!
 
sasa kwanini serikali wasiipige marufuku, mbona bado viwanda vinazalisha bana?
Tena zao hilo ndilo linalochangia bajeti ya taifa.

bajeti ya serikali inategemea hapo mkuu!
Na uwezo wetu wa kufikiri ndo umefika mwisho kabisaa kutafuta vyanzo vingine vya mapato!
 
hii ni special nikimaanisha ya dukani..
ile unayochuma majani na kukausha mwenyewe haina hayo
mavijidudu yote ...
 
Serikali yako itafirisika au umesahau kwamba wavuta bangi na walevi ndio wanaoendesha nchi(wachangiaji wakuu wa kodi)
 
Mbuzi tabia yake ya kupenda kula hali majani ya tumbaku,
iweje watu na akili zao wanavuta wanabwia na kutafuna Tumbaku??
 
Tumeanza kuvuta tangu tunazaliwa, hadi leo tunazeeka, mbona madhara hatuna?????? Isitoshe wastani wa maisha ya mtanganyika ni miaka 45 tu, mimi leo nina 65, unataka niache kuvuta niishi hadi wapi???? Mwenzako nasubiri kupiga kura ya 2015 tu, baada ya hapo, basi roho yangu halali ya kifo.
 
Back
Top Bottom