Search results

  1. Daniel Myl

    Teddy Kalonga huwa namfananisha na Halle Berry

    Teddy yuko na beauty fulani hivi amazing, uzuri zaidi ni kuwa she is very intelligent. Mimi huwa namfananisha na Halle Berry sura zao zinafanana. Natamani aigize kwenye movie kama young Halle Berry. Im just fantasizing.
  2. Daniel Myl

    Dawa kunako 6x6, dawa ya nguvu za kiume

    Dawa special ya nguvu za kiume, pure organic, 100% miti shamba inapatikana Dar. Siyo ya kunywa ni ya kupaka tu dushe siku moja kabla ya kukutana na mke wako..... Then make malove, mpaka utakapohisi mmetosheka.... Dozi yake ni sh elf 60 unaweza tumia hata miezi 6. Pm me kama unaitahitaji... Dar
  3. Daniel Myl

    Vile vi dancers vya kike kwenye wimbo wa Inde

    Vile vi binti kwenye wimbo wa Inde wa Dully na Harmonizer ni vi dancer vya nani?? Natamani kuviona live kwenye stage.!!
  4. Daniel Myl

    East Africa: Comesa Trains Food Companies in Uganda - allAfrica.com

    http://allafrica.com/stories/201604090243.html
  5. Daniel Myl

    CCM ni ile ile oooh ni ile ile....

    Nyumbu ataendelea kuwa nyumbu tu. Siku 60 watz tunashuhudia papara, ukurupukaji, matamko kwa kifupi ni chaos! Vurugu...! Nani alikuambia uchumi wa nchi unajengwa kwa kuzuia watu kusafiri kwenda kufanya kazi halali na za maslahi ya kitaifa?? Ili uweze kuleta maendeleo lazima uzingatie mambo...
  6. Daniel Myl

    Mh. Rais, kilimo cha Tanzania kinahitaji kuwa na mtazamo huu!

    Kwanza nianze kwa kusema, Tanzania hatuna kilimo cha Kibiashara shughuli ambayo nchi nyingine nyingi ni moja ya vyanzo vikubwa vya mapato na uchumi wa nchi. Sekita ya kilimo cha mboga na matunda nchi jirani ya Kenya ikua kwa kasi kubwa na ni nchi pekee kusini mwa jangwa la sahara ukiondoa...
  7. Daniel Myl

    Simu Mpya Galaxy Win GT 18552 DUO SIM CARD

    Wakuu Sim mpya inauzwa toleo la mwezi April Mwaka huu Sim hii inatumia line 2 zote zinafanya kazi wa wakati mmoja Iko poa kabisa nimeitumia hardly wk 2 Details za sim ni kama inavyooneka hapa chini Bei yake lak 380,000 tu Twanga kwa namba hii kama unaitaka 787323291 SPECIFICATION OF...
  8. Daniel Myl

    Genuine way to make some cash with your spare time

    http://Visitors2Cash.com/ref.php?refId=146515 Gonga hiyo link hapo They real pay, after you generate a minimum of 30&
  9. Daniel Myl

    Mikopo ya Masharti nafuu Nahitaji pls

    Habarini za asubuhi Nahitaji mkopo wa mil 1.5-2 wa masharti nafuu kabisa kwa ajili ya biashara, mkopo ambao naweza kuweka rehanii vitu vya ndani kama majokofu, tv, washing machine nk..nk... nina uwezo wa kurudisha hiyo pesa na riba yake ndani ya miezi kuanzia 2. Nafahamu zipo micro-finance...
  10. Daniel Myl

    Mfasiri Kiswahili-English-Kiwahili yuko hapa!!

    Nina uzoefu wa kutosha katika kazi hizi mara nyingi nimehusika katika kufasiri maandiko ya kitaaluma, Kwa Kampuni, taasisi au mtu binafsi aliye mahitaji ya mfasiri Kama vile 1. Vitabu 2.Vijarida 3. Mabango 4. Makala 5. Kitabu cha Mwongozo (Manual) Tafadhali wasiliana na mimi Pia niaandika...
Back
Top Bottom