Daniel Myl
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 535
- 270
Nyumbu ataendelea kuwa nyumbu tu. Siku 60 watz tunashuhudia papara, ukurupukaji, matamko kwa kifupi ni chaos! Vurugu...! Nani alikuambia uchumi wa nchi unajengwa kwa kuzuia watu kusafiri kwenda kufanya kazi halali na za maslahi ya kitaifa??
Ili uweze kuleta maendeleo lazima uzingatie mambo muhimu yafuatayo: Ujuzi, Rasilimali, Mpango kazi, motisha, na vision. Mawizarani huko hakuna kazi eti full kuzogoa, serikali iko busy kufunga mageti kwa wachelewaji!! Hakuna vision waziri anavizia watu usiku wa manane kana kwamba hakuna vyombo vya uchaguzi kama anataka kujua jambo!
Tunahitaji mipango kazi ya kututoa hapa tulipo kwenda hatua nyingine. Tunataka Kilimo chenye tija wakulima wauze mazao yao ulaya na kwingineko duniani. Serikali ina mambo ya rejareja sana, yaaani wakizungumza Kilimo wanataka wakulima walime mahindi wale washibe wazaane!!
Mijadala bungeni utasikia mibunge manyumbu inapiga kelele Oooooh mbolea ya ruzuku.. Jamani Kilimo cha mahindi ya kula ugali hakiwezi kutupeleka popote, mwanachi ataendelea masikini... Tunataka mipango ya kuleta mapinduzi ya viwanda..
Kwenye utalii ndio usiseme kuna Madudu huko na hao watalii wanaokuja ni Zawadi kutoka kwa mwenyezi...
Mhe Rais matamko, mavurugu yoote haya hayataleta maendeleo ya nchi. Toa pesa wataalamu kila idara wapewe malengo ya kua-achieve mwisho wa siku kila mtumishi amefanya nini ameachieve nini..!
Kitendo cha kukaa ofisini bila kazi kinaniudhi sana. Mawaziri wako wakae ma idara waweke malengo na nini cha kuachieve