Search results

  1. M

    Kiwanja kinauzwa Mbezi njia ya Goba

    Kuna kiwanja kinauzwa jirani mbezi Luis pr school, njia ya Goba unaingia Kama km 1 toka lami. 22*20m ni 12ml eneo lote limejengwa na nguzo ya umeme iko getini. Eneo limezungushwa nguzo na fencing wire. Anayeuza anamiliki nyumba hapo. Karibu 0752306076
  2. M

    Kiwanja Goba

    Habari wadau. Kuna mtu anauza kiwanja chake Goba Kulangwa ml 8, sio mbali na lami Ukubwa 20x20m Mpigie Said 0658 112572
  3. M

    Mashamba na viwanja yanauzwa Ruvu Moro, rd

    Maeneo yanayofaa kwa makazi na mashamba yako kati ya kilometa 70 hadi 85 toka Dar es Salaam barabara ya kwenda Morogoro. Heka 15 kila heka 1 milioni 2 na laki 3. Heka 10 kila heka 1 milioni 2 na laki 5. Heka 10 kila heka 1 milioni 3. Heka 20 kila heka 1 milioni 3 na laki 5. Na heka 500 zipo km...
  4. M

    Ngombe dume anauzwa Dar

    Ni ngombe mbegu kubwa wa maziwa anauzwa 1.5ml. Karibuni
  5. M

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Singida eka 3

    Kiwanja kipo barabara ya Mwanza karibu na mizani. Bei ni 3.5ml kwa eka ila inaongeleka. Wasiliana nae 0752959836
  6. M

    International Correspondence Schools

    Wakuu habari zenu, niliwahi kusoma kozi mbalimbali miaka ya nyuma kupitia hawa watu ila kipindi hicho ilikuwa kwa njia ya posta. sasa nilikuwa nataka kijana wangu asome tena na niliambiwa wako hapa Dar pia, najaribu ku google napata majibu siyo kuna yoyote mwenye taarifa sahihi wako wapi hawa...
  7. M

    Kuku Chotara wanauzwa Mbezi juu

    Kuku chotara wana mwaka mmoja na wanataga, ni chotara weusi jirani yangu anauza wapo 35 bei anauza 13,000/= ni wazima hawana shida ila anahitaji banda kwa vifaranga 0713737813 au 0768737813. Karibuni
  8. M

    Ng'ombe jike wawili wanauzwa.

    Ng'ombe jike wamaziwa wanauzwa. Mkubwa ana mwaka na miezi mitano, mdogo miezi kumi. Wanasubiri kupandishwa ni Ayshire. Anauza jumla 2:2 ml. Wapo mbezi Luis.
  9. M

    Kuku wakubwa chotara na kienyeji pure wanauzwa

    Wapo Dar nyuma ya interchick. Kienyeji pure wamebaki 5 jogoo mmoja, tetea mmoja tayari anataga. Wako pia watano wa miezi 5. Chotara wamebaki jogoo 3 na matetea 10 wote wana miezi 7 ndo wanatetea. Sms 0767246949 Jogoo ni 15000 tetea kienyeji 12000 ukichukua wengi inapungua.
  10. M

    Natafuta banda la kuku 500 kukodi, Morogoro

    Habari wadau, mdogoangu anatafuta banda la kukodi afugie kuku 500 yaani wastani mita za eneo 50. Anapendelea maeneo ya Kihonda au jirani na hapo. Kama unalo au unamfahamu naomba wasiliana nae kwa namba hii 0683497690. Asante sana.
  11. M

    Offer ya Xmas: kuku chotara wa kula au kufuga wanauzwa Dar

    Habari wadau, nauza kuku chotara wana miezi 8. Ni wakubwa wanafaa kwa kula au kufuga maana majike wanataga na majogoo wanapanda kwa wale wanaokuwa maeneo ya Posta mpya nitawaleta ijumaa kuanzia saa 9-11 jioni Bagamoyo rd watakuwepo mbele ya Interchick muda utakaoomba. Bei 12,000 jike 20,000...
  12. M

    Kiwanja kinauzwa Nyegezi, Mwanza

    Kiwanja cha eneo 450 metres kinauzwa, kipo Nyegezi, Mwanza. Kiwanja kimepimwa na kina Title Milioni 30 tu. Contact 0686383868
  13. M

    Semi finished residential one storey house for sale at Mbezi beach near BOT flats

    Its a five room house built in 40 by 20m surveyed plot with a title deed. Situated very near the Mbezi beach Africana road, good neighbourhood and surroundings. The house needs finishing only plumbing and electric wiring ready. Price is US dollar 400,000 but negotiable. Karibu! Contact...
  14. M

    Nauza machine ya kutengeneza chaki

    Habari jamani, ninauza machine hiyo ni nzima imetumika sio zaidi ya mwaka. Ilinunuliwa SIDO Moshi kwasasa ipo Dar. sababu ni kuwa ninashughuli nyingi ninakosa muda wa kusimamia hii biashara. Bei ni tsh 800,000 (laki nane tu)
  15. M

    Hearing aid

    Ndugu zangu kuna mtu anafahamu wapi zinapatikana kwa hapa Tanzania na bei zake?
  16. M

    The 15th East Africa International Trade Exhibition 2011

    Wadau karibuni nimekutana na hii kwenye mail nimeona niwakumbushe na wengine nasi tuthubutu EAC ndiyo hiyo inakuja... Diamond Jubilee Hall, Dar-Es-Salaam, Tanzania Pic | Map 24 - 26 September, 2011 10 AM TO 06 PM Business Visitors Only The Gateway To The 380 Million Consumer Market Of The...
  17. M

    Nyumba inauzwa barabarani Kinondoni Mkwajuni

    Nyumba ya vyumba 11 inauzwa iko barabarani Kinondoni Mkwajuni. Bei milioni 70, Kwa maelezo zaidi sms au piga 07155549911
  18. M

    A plot for sale at Boko, Bagamoyo rd.

    A place known as Boko juu or Boko Chama, one Kilometer from Bagamoyo rd. Good landscape and 25 to 22 metres. Price: TSH 3,000,000 Phone: +255 712 597 718
  19. M

    Kunduchi Beach Plot no 439 for sale

    Area 1544 square metres or (30 x 50 metres). Opposite the gate entrance to TAFIRI, a walking distance to Kunduchi beach Hotel. Price: TSH 100,000,000 Phone: +255 784 524 775 or +255713247316
  20. M

    Kiwanja kinauzwa Mbezi juu

    Kiwanja kipo Mbezi juu umbali mfupi kutoka Mbezi Garden hotel au St Marys. Kina view nzuri sana ya bahari. Bei m 8 tu. Contact 0715549911
Back
Top Bottom