Kuna kiwanja kinauzwa jirani mbezi Luis pr school, njia ya Goba unaingia Kama km 1 toka lami. 22*20m ni 12ml eneo lote limejengwa na nguzo ya umeme iko getini. Eneo limezungushwa nguzo na fencing wire. Anayeuza anamiliki nyumba hapo. Karibu
0752306076
0752306076