Kiwanja kinauzwa Nyegezi, Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa Nyegezi, Mwanza

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mama Joe, Oct 5, 2012.

 1. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kiwanja cha eneo 450 metres kinauzwa, kipo Nyegezi, Mwanza. Kiwanja kimepimwa na kina Title
  Milioni 30 tu. Contact 0686383868
   
 2. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 686
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  Mama Joe, una maana square metres 450 kwa millioni 30?
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Mil 30 !!!
   
 4. u

  ureni JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,069
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  milioni 30 ni nyumba au kiwanja?wapi mwanza?
   
 5. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 5,330
  Likes Received: 4,789
  Trophy Points: 280
  Nyegezi sehemu gani? Mkolani, kijiweni, malimbe, nyegezi kona, kwa kuzenza au wapi, hebu toa ufafanuzi tulinganishe bei na eneo..
   
 6. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Jirani na Nyabugoya shule ya msingi kama matatu unashukia kituo cha Kijiweni ni karibu na SAUT.
   
 7. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,159
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kabla ya kununua hicho cha mama joe nitafute kwanza nikuonesha kimoja kiko hapo kijiweni, unaingia kama 1.5km ndani sqMtr 650, kinauzwa mil 11. Bargaining ipo.
   
 8. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wewe hiyo bei unauza nyumba ama ni kiwanja tu?
   
 9. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Me nilijua Dsm 2 kumbe hata mwanza.
   
 10. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Jamani viwanja vyenye title bei yake imepanda. Pia eneo hili linalipa ni karibu na chuo, hostel, frame, hotel, dispensary vyote vitalipa tu. Hata uku dar mbona vikipimwa vinauzwa kwa square metre. Kama una cash bei inaongeleka.
   
 11. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,481
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  Ulanguzi sio sukari na mchele tu............ hata huu ni ulanguzi
   
 12. Ngamba

  Ngamba JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2014
  Joined: Jun 6, 2013
  Messages: 657
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Ok, mie natafuta kiwanja mwanza bei 1m hadi 3m
   
Loading...