Mashamba na viwanja yanauzwa Ruvu Moro, rd

Mashamba na viwanja yanauzwa Ruvu Moro, rd

Mama Joe

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,504
Reaction score
851
Maeneo yanayofaa kwa makazi na mashamba yako kati ya kilometa 70 hadi 85 toka Dar es Salaam barabara ya kwenda Morogoro. Heka 15 kila heka 1 milioni 2 na laki 3. Heka 10 kila heka 1 milioni 2 na laki 5.

Heka 10 kila heka 1 milioni 3. Heka 20 kila heka 1 milioni 3 na laki 5. Na heka 500 zipo km 6 toka barabara ya Morogoro laki 6 kila heka 1.Mengine, heka 200 na 100 ziko kilomita 25 toka barabara ya rami, heka 1 inauzwa laki 3 na elfu 50.

Simu 0754034775
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom