Natafuta banda la kuku 500 kukodi, Morogoro

Natafuta banda la kuku 500 kukodi, Morogoro

Mama Joe

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,504
Reaction score
851
Habari wadau, mdogoangu anatafuta banda la kukodi afugie kuku 500 yaani wastani mita za eneo 50. Anapendelea maeneo ya Kihonda au jirani na hapo. Kama unalo au unamfahamu naomba wasiliana nae kwa namba hii 0683497690. Asante sana.
 
Back
Top Bottom