Habari,
Ndugu zangu TAMISEMI habari zenu!
Tunapenda kujua kwanini mfumo wa usajili wa leseni za biashara (TAUSI) haufanyi kazi tangu wiki iliyopita kwanini? Lini mfumo huu utarudi na kuanza kufanya kazi tena?
Kuna watu wamekwama wanahitaji leseni kwaajiri ya maswala ya kibenk nk, sio kwaajili...
Hello habar wadau, naomba kujua ni shule zipi za olevel zenye boarding iwe ya Boys au mchanganyiko hususan Kwa mikoa ya Dodoma na morogoro.
Natanguliza shukran za dhati
Ndugu wadau.
Kuna Ajali imetokea jana ya basi linalofanya safari zake Dodoma Mtwara liitwalo Baraka classic.
Ajali imetokea katika kijiji kiitwacho Pandambili kipo katika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Basi lilipinduka na kuua watu watatu akiwemo mama mmoja aliyekuwa na mtoto apataye umri wa...
Wamechukua tena,tena 100% ni wao upande wapili hawataingia bungeni hao wachache waliopewa,
Kumbukumbu hazionyeshi kama kuna mbunge wa Kati ya hao watakao ingia kama alishawahi kuibana serikali kuhusu maslahi ya wafanyakazi hata kuhoji tu kuhusu watumishi wa umma!
Siioni sauti yoyote kuhusu...
SERIKALI YA JPM YABORESHA MASLAHI YA WAFANYAKAZI.
Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Walemavu) Jenista Mhagama ameliambia bunge kuwa serikali ya awamu ya 5 imeboresha kwa kiasi kikubwa maslahi ya wafanyakazi nchini.
Amesema maslahi ya wafanyakazi yaliboreshwa...
Kuna shule ya secondary naidai pesa kidogo kutokana na kazi niliyowafanyia kwa makubaliano ya kulipwa kupitia fedha za elimu bure pindi zitakapoingizwa kama ulivyo utaratibu,
Makubaliano ilikuwa kulipwa kupitia pesa ya elimu bure ya mwezi October itakapoingizwa na serikali kwenye account yao ya...
Ktk maisha yangu nimeshakuwa na mahusiano rasmi na wasichana wapatao kumi hiv,
lakini kuna vitu nimekutana navyo kwa kila mmoja na kuamini kila msichana wa kitanzania anavyo,
1:Kutojibiwa baadhi ya sms kwa makusudi
2:kutotokea kwenye miadi/kuchomeshwa mahindi
3:Wao Kupoteza simu au...
Nimejiuliza hili jambo kitambo kwa nini wanywaji wengi wa pombe wanakuwa na sura ngumu?
Basi juzi rafiki yangu mmoja akaniuliza kama nakunywa pombe,mi nikamwambia kwamba huwa nakunywa pombe tena zile kali hadi nalala baa,
Jamaa akaniambia neno moja tu kwamba mi sinywi pombe tena hata kidogo...
Mhanga pia ujulikana kama ( muhanga) wingi ni wahanga ,majina yake mengine ni fundi-mchanga , kiharara, kukukifuku au loma ( Orycteropus afer jina la kisayansi ) kiingereza huitwa aardvark
Ni mnyama apatikanaye barani Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara utampata zaid Afrika Kusini,Ethiopia...
Katika ulimwengu wa kiroho kuna
laana na baraka ambapo vyote baadae huonekana/hudhihirika ktk ulimwengu wa kimwili/machoni.
Laana inaweza kutoka kwa MUNGU pamoja na baraka pia (biblia:torati 28)
Pia laana au baraka inaweza toka kwa wazazi
Lakini shetani ni bingwa wa kuwalaani watu...
Ilikuwa ni desturi ktk kila tukio la kitaifa au laaa kumuona Mpoto akitumbuiza na kutunzwa na Sizonje iwe kwenye lile jengo jeupe au pengine!
Siku hizi simuoni tena Mpoto akialikwa upande wa utumbuizaji kama ilivyo ada before or after event,
au mashairi ya kitendawili yamemchefua Sizonje ndo...
Kwa watumishi wa umma umnaosubiria nyongeza ya mshahara serikalini, Payroll kwa ajili ya malipo ya mshahara zimeshatoka na zinaonesha kwamba hakuna kiasi chochote cha nyongeza hata kwa wale wanaotakiwa kupandishwa daraja.
Hii ni kwa mujibu wa huku kwetu sijui kwingine.
Kwa mujibu wa waziri ni...
Tangu serikali ilipoamua kuanza kutoza kodi katika misaada inayotolewa na wahisani ktk ngo's mbalimbali kubwa na ndogo hali hiyo imepokelewa kwa hisia tofauti na wahisani wengi!
Wanahoji kwanini kile wanachochangia ktk hali ya kutoa msaada halafu tena kitozwe kodi? Hawataki amount wanayochangia...
Benki ya nmb nayo imeanza kufanya uhakiki wa watumishi wa umma wote ambao mishahara yao inapitia ktk benki hiyo.
Mtumishi unaenda mwenyewe benki unaonyesha kitambulisho cha kazi halafu unapewa fomu,ukishaijaza unaipeleka kwa afisa utumishi akisha saini unairudisha benki
Hiyo foleni kwa maafisa...
Katika kuhakikisha kuwa walimu wanaingia darasani kumeandaliwa utaratibu wa kuwapa tablet walimu wakuu na wakuu wa shule ili kumpiga picha kila mwalimu pindi anapoingia darasani ili kuthibitisha kuwa amefundisha!
Mara baada ya mwalimu kupigwa picha itatumwa kwenye ofisi za elimu wilaya ili...
Bayport Tanzania taasisi ya kifedha inayotoa mikopo, wiki ya tatu sasa tangu niombe mkopo kwenu katika moja ya wilaya za Dodoma na kisha mkanipigia simu kwamba mkopo wangu hauna shida unashughulikiwa utakuwa tayari karibu, chakushangaza hela ya mkopo hamjaniingizia katika akaunti yangu hadi Leo...
China,Russian,N.Korea na Rwanda ni baadhi ya nchi ambazo zimefanikiwa sana ktk kuondoa nguvu ya vyombo vya habari kutangaza kila habari au hata kuonyesha Yale yasiyopendwa na watawala! '. Iliudhibiti vyama vya siasa ni lazima kuendane na...
Viongozi wa dini wengi kabla ya uchaguzi wanakuwa mstari wa mbele kuhubiri amani kwa watanzania!
Uchaguzi unapofanyika na haki za kidemokrasia kukiukwa hawathubutu kusema neno lolote lile ili kutetea haki!
Pia wana harakati pamoja na wazee wanaoheshimika nchini nao pia kimyaaa...shameful...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.