NGO'S hatarini kufa kisa kodi

BRAND

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
296
256
Tangu serikali ilipoamua kuanza kutoza kodi katika misaada inayotolewa na wahisani ktk ngo's mbalimbali kubwa na ndogo hali hiyo imepokelewa kwa hisia tofauti na wahisani wengi!

Wanahoji kwanini kile wanachochangia ktk hali ya kutoa msaada halafu tena kitozwe kodi? Hawataki amount wanayochangia kwenye Ngo's itozwe kodi hata shilingi moja kwa maana hakuna kitu kama hicho dunia hasa linapokuja suala la donations za kiutu na kijamii kwa ujumla.

Mmoja wa wasimamizi wakuu wa NGO fulani maarufu na kubwa nchini anasema baadhi ya wahisani wameacha kuchangia na wanaondelea wengi wao ni wale waliosaini mikataba na inahofiwa pia na wao wataacha kuchangia pindi mikataba yao itakapoisha!
 
NGO's ni kichaka cha kukwepa kodi na wizi tu.Zile zinazofanya kazi ya kweli zitadumu tu
 
  • Thanks
Reactions: MTK
NGO'S baadhi na asasi za kijamii naskia ni zinachangia mambo ya culture ya ushoga na tabia za mapenzi jinsia moja ni kweli? Mfano wa NGO'S hizo ni zipi?
 
Mambo yapi ya ndani yenu wasio ya jua wew kira kitu unanunua kwao sasa hata hao NGO's waondoke yandani yatabaki wazi tu
 
Back
Top Bottom