Search results

  1. T

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

    Umeonge vema. Kikatoliki ndoa ni tendo la ndoa; bila tendo la ndoa hakuna ndoa. Siku ya ndoa pale kanisani kinachofanyika ni kupata baraka ya ndoa baada ya hapo siku hiyo hiyo ni LAZIMA maharusi wafanye tendo la ndoa ndio ndoa inakuwa imekamilika. Lengo la ndoa ni tendo la ndoa. Kupata watoto ni...
  2. T

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Unafanya mzaha! Una mtazamo finyu sana!
  3. T

    Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

    Muandikishane kwa mwanasheria kwamba hatadai child support.
  4. T

    Tujifunze pamoja na tuelimishane kuhusu program ya Excel

    Hizi zama za AI sio za kuumiza kichwa. Wewe ingia chatgpt4 weka inputs zako, ipe command/maelekezo unataka nini iwe ratiba ya shule nzima, iwe orodha ya wafanyakazi na familia zao na wanaolipwa hela fulani; chochote kile. Inarun na kukupa excell sheet within seconds.
  5. T

    Kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana misemo, nahau na maneno mbali mbali

    ayumkiniki Naomba maana yake jwa Kiswahili na neno lake kwa Kiingereza. Shukrani
  6. T

    Tanzania tumekopa zaidi ya Trilioni 8 kwa 2021-2022, nini kimefanyika?

    Unapambana nini? Unapambanaje kwa kukopa upya kwa miradi ya awamu ya 5 ambayo tayari ilishakopewa?!
  7. T

    Wafuasi wa Askofu Mwaikali wasusa ibada Mbeya

    Unajichanganya. Unawalaamu wazungu, halafu hapo hapo unaikubali Biblia waliyoileta hao hao wazungu. Hujui unataka nini!
  8. T

    Kombe la Dunia la Darts 2022

    Michuano ya dunia ya darts imeanza leo huko Ujerumani June 16 mpaka June 19 itakapoisha. Ukiacha South Africa hakuna nchi nyingine ya Africa inayoshiriki hili kombe la dunia. Rai: wizara ya michezo itie mkazo kwenye hii michezo midogo midogo inaweza kututoa kimasomaso, msikazanie soccer tu!
  9. T

    MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

    Pole sana. Jaribu kufanya rope skipping, na pia jaribu kufanya Kegel exercise. Muhimu kabla ya kulala usali na ukiamka asubuhi sali. Mungu atakuponya.
  10. T

    Hawa kweli wana shida ya wafanyakazi Canada au matapeli?

    Ni kweli kuna kazi nyingi canada za both skilled na unskilled. Ili uwe na uhakika official website ya goverment ya Canada iko hivi canada.ca Canada ni nchi kubwa sana, ya pili hwa ukubwa duniani. Ina majimbo/provinces 10 na territories 3. Kila jimbo lina mamlaka yake. Kuna majimbo ambayo ni...
  11. T

    Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa

    Never forget what someone says to you when they are angry or drunk, because that's when the truth comes out!
  12. T

    Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa

    Wahenga wanasema: In vino veritas-under the influence of alcohol, a person tells the truth
  13. T

    Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

    Wanafunzi wengi haya maneno huwa yanawashinda sana: Desk wengi wanatamka deksi Ask wengi wanatamka aksi (nadhani ni tatizo la kubwa la Kibantu, nimeona hata African Americans wengi wabatamka aks pia). Lecturer wanafunzi vyuoni vwanachapia sana hili neno wanatamka lecture Determine wengi...
  14. T

    Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

    English huwa haishindiliwi mwishoni. Kwa hiyo hizo i mwishoni hazipo. Ni sit, siit, na sait
  15. T

    Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

    Paulo mtume aliwaomba msamaha aliowaua baada ya kuongoka/kuokoka? (Sauli - Paulo). Msamaha wa Mungu hauna masharti. Ukitubu kwa imani unasamehewa!
  16. T

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    UTT AMIS ni taasisi ya Serikali ya Jamuhuri ya Tanzania chini ya wizara ya Fedha. Ofisi zao zipo. Mawakala wao wapo(CRDB). Pia wakati wa maonesho ya sabasaba ukipata muda tembelea banda lacwizara ya fedha humo ndani utakutana na taasisi zote za hiyo wizara ikiwemo UTT. Ni kweli ni vizuri kuwa...
  17. T

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Kubadilisha inaruhusiwa lakini huwezi toka umoja kwenda bond fund. Kwa nini? Kwa sababu UTT hela zilizochangwa kwenye mifuko hiyo wanaiwekeza katika sehemu tofauti. Unaweza kuhama toka liquid kwenda bond. Au bond kwenda liquid. Watoto(umri ukizingatiwa) kwenda umoja.
Back
Top Bottom