Search results

  1. minyoo

    TRA kuna pesa hiyo mulikeni huko kuongeza pato la Taifa

    TRA undeni wachunguzi wenu wawe wanakaa kwenye mabaa club usiku ili wapate kuwapa mashine za rist wale mdananda Ombaomba watu wazima ambao hujiingizia kipato kupitia mizinga mizinga kuwabomu wenzao pesa kiujanja janja. TRA wakiwa makini na hilo wataingiza pesa nyingi kwani omba omba huingiza...
  2. minyoo

    BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

    Kutumiwa pesa toka nje ya Nchi sasa ni dhahama kubwa maofisa wa BOT wanaleta usumbufu mkubwa na baadhi wamegeuza kama kitengo cha kupigia pesa kwa kuwatisha waliotumiwa pesa kuwa watapewa kesi za utakatishaji pesa. Utawala huu imepelekea wajanja wachache kutumia fursa hizo kujinufaisha na hapo...
  3. minyoo

    Mashule binafsi kuweni na huruma licha ya changamoto zenu kwenye biashara

    Watoto waliochelewa kumalizia Ada kidogo ingwe ya mwisho wa mwaka kwenye mashule ya binafsi kutokana na ule mtikisiko wa corona huenda wakaenda kukosa kufanya mitihani kuanzia kesho Jumatatu kutokana na wenye shule binafsi kupanga kuwazuia kufanya mitihani. Serikali tukufu Serikali ya vitu...
  4. minyoo

    Uchaguzi 2020 Je, mchujo wa washindi wa kura za maoni CCM kugubikwa na sintofahamu nyingi?

    Tumemsikia mwenyekiti wa CCM Kinondoni akisema majina yote yanakwenda Dodoma na watawachunguza washindi wa kura za maoni kuhoji ushindi wao wameupataje pataje? Kwa maana nyingine wanatumia vyote vya uchunguzi kupata taarifa, kwa maana hiyo mshindi wa kwanza ikitokea akawa na chuki na wachunguzi...
  5. minyoo

    Waziri wa Elimu zimulike school buses, Watoto wako hatarini kupata maambukizi

    Baada ya mashule kufungwa kupisha corona ipite zile Gari za kubeba wanafunzi maarufu kama school nyingi zilipaki majumbani, lakini baada ya mashule kufunguliwa wamiliki wa mashule wameamua kutumia mabasi machache kubana matumizi matokeo yake ni watoto kubanana sana mpaka wengine kukaa chini...
  6. minyoo

    China walibadili jina la mji mkuu baada ya kuujenga kisasa

    Mwanzo uliitwa peking kipindi ukiwa umejengwa hovyo hovyo kama Dar , baada ya kuupangilia vizuri sasa unaitwa Beijing, vipi jiji chafu la DAR baada ya serikali kugoma kuhamia Dodoma hawana mpango wa kubadili jina?
  7. minyoo

    Nyambari Nyangwile Mbunge bubu mjengoni

    Wakazi wa Tarime wanajuuta kumchagua mtu ambaye hazungumzi bungeni yeye kazi yake ni kuvuta posho na kusaka madili ya kuuza vile vitabu anavyoandikiwa na wajanja kisha anawalipa na kuzuga eti yeye ndiyo Mwandishi harisi.
  8. minyoo

    Mh Rais umewahi kukemea juu maadili kuporomoka?

    Hivi sasa maadili yameshuka sana Viongozi wapo busy na kuhangaika na katiba,Ufisadi nk , huku maadali na Utamaduni wetu ukisahaulika sasa ! siku hizi ni kawaida Vijana kuvaa nguo chini ya Makalio na wanawake kuvaa vinguo visivyo na staha pasipo Viongozi kulivalia njuga janga hili.
  9. minyoo

    Amri ya Mwakyembe, Je mkuu wa majeshi, IGP ,Usalama na uhamiaji,Magereza watakaguliwa?

    Pale uwanja wa Ndege kuna Ulinzi toka wizara Nne 1-utawala Bora 2-Ulinzi 3-mambo ya Ndani 4-wizara ya uchukuzi ikiwa imeziajili kampuni Binafsi za ulinzi huku Wizara ya Mambo ya Ndani ikiwa na jukumu kubwa Zaidi kwani ina idara mbili polisi na Uhamiaji !je?waziri wa hizo Wizara nao watapekuliwa...
  10. minyoo

    Swali Hv vazi la Suruali ya Jeans ni la kihuni?

    Pale makao makuu ya JWTZ ni marufuku kuingia Kama umevaa Jeans
  11. minyoo

    Tarime

    Lini utawala wa Majimbo utaanza utaanza TZ kama U.S.A kwani tayari TARIME ni Jimbo wana polisi wao wanao jiita Kanda Maalum wanakubambikia kesi kubwa muda wowote wakisikia umepata Fedha kwa kuuza Mahindi ama N’gombe au bidhaa wakuja usiku mkubwa wansema wewe ni JANGILI au JAMBAZI wankuwekea...
Back
Top Bottom