Baadhi ya taa za barabarani katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu zinapowekwa kwa mara ya kwanza huwa zinawaka lakini baada ya muda utakuta au baadhi ya taa au taa zote kwenye barabara husika haziwaki.
Je, wahusika wa hizi taa ni akina nani na hawajui kama haziwaki?
Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CHADEMA wamejifikishia ujumbe mkubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa wananchi kwa kufanyika miji tofauti.
Hivi, wanaona wananchi ni wajinga hawawezi kupata huo ujumbe...
LATRA tunaomba mtuokoe na huu wizi wa mchana kweupe akitokea dalali akakuelekeza kwenye basi ujue utalipa nauli zaidi ya nauli halali. Hebu fichueni makucha yenu tuone faida ya uwepo wenu maana uwepo wenu ni kodi za wananchi
Hivi kweli kama CHADEMA ni chama chenye nia nzuri na wananchi kinaweza kuratibu maandamano miji tofauti kwani ujumbe uliofikishwa pale Dar haukufika sehemu zngine za nchi haukufika.
Waache ushamba, wananchi tutakula maandamano kweli maana viongozi wao wana ruzuku. Wapuuzwe
Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki.
Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa.
Vinginevyo Mheshimiwa Makonda tafadhali urudi Bahati uokoe wananchi wa Babati na makalele ya makusudi yanayofanywa na...
Wiki hoi nimepokea sms za kawaida mbili kutoka TAMISEMI moja ikikumbusha Watanzania kuhakikisha watoto wa miaka 5 wanaanza shule za Awali na wale wenye mi 6 wanaanza darasa la kwanza. Sms ya pili ilikuwa inahimiza watoto wapelekwe shule za sekondari bila kukosa.
Cha ajabu TANESCO wana namba za...
Babati kuna mtindo wa pikipiki kupiga kelele kama milipuko ya makusudi lakini inaonekana vyombo vinavyohusika vinaliangalia hili suala na linabaki kuendelea likisababisha usumbufu kwa watu.
Nilibahatika kupita na kukaa kama siku nne Babati na kisha kupata chakula na kinywaji kwenye migahawa na Bar za Babati. Kilichonishangaza ni jinsi waendesha pikipiki wanavyosababisha makusudi pikipiki zao kupiga kelele hususani wanapofika kwenye maeneo ambayo yana watu wao hapo ndo huonyesha...
Hawa madereva wa pikipiki wanaofanya pikipiki zao kupika kelele ikiwemo milipuko kama mabomu wanasababisha kelele zisizo za lazima hivyo màmlaka zinazohusika zijitahidi kukomesha tabia hizi ambazo hazina tija.
Wakati wa uchaguzi wa jirani na ndugu zetu kuna baadhi ya wenzetu Watanzania walisifu sana kuwa wenzetu wako mbali kidemokrasia tujifunze kutoka kwao lakini kwa yanayoendelea kama mambo yenyewe ya demokrasia yako hivyo ni bora tuendelee na katiba iliyopo na tume ya uchaguzi iliyopo kuliko...
Huyu Lema tangu atoke Canada anabwajaja maneno bila kutafakari eti ugali ni chakula cha masikini sijui akiwa huko alikula maharage ya wapi huyu.
Hivi kwa umri wake na kutembelea maeneo ya Tanzania mbalimbali katika shughuli zake za kisiasa hajatambua kuwa kwa makabila mengi hapa nchini ugali...
Inaudhi sana, Rais anateua wateule wake halafu wakianza kutekeleza majukumu yao wanakuwa hawana maelewano mazuri kazini kwao kwa kuendekeza migongano.
Wanaleta mambo ya kama uke wenza kazini kwenye utumishi wa umma.
Rais uamuzi wako wa kuwashughulikia viongozi wanaoleta misuguano kazini kwao...
Hivi hawa madereva wa pikipiki wanaopiga kelele màmlaka zinazohusika hawasikii kelele zinazosababishwa na milipuko kwenye pikipiki zinazosababisha kelele zisizohotajika au wanapotembea mitaani wanakuwa wamefunga vioo vya magari yao kiasi cha kushindwa kusikia kelele hizo. Tafadhali tuondoleeni...
Wiki iliyopita nilisafiri na basi kwa jinsi nilivyoona mwendo nikahisi mwendo umeshapita km 80 kwa saa hivyo nikaingia kwenye application ya speedometer kwenye simu yangu.
Gari lilikuwa linakwenda zaidi ya km 90 kwa saa hata sehemu zenye kona kali. Nikamuuliza konda akasema eti speed haizidi...
Madereva wanaoendesha Pikipiki zinazopiga mabomu wanachafua Mazingira kwa Kusababisha kelele ziaizo za lazima na usumbufu kwa watu.
Hivyo NEMC na Jeshi la Polisi hawa watu wamulikwe na ili waachane na tabia hizo ambazo huleta usumbufu.
Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Kibakwe, Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene amekuwa kati ya mawaziri wa Serikali ya Kikwete walioshinda kwa kishindo katika Jimbo la Kibakwe Baada ya kuwaacha wapinzani wake kwa mbali sana.
1. Simbachawene18,158
2. Mwanyinge 6901
3...
Matokeo ya kura za maoni CCM Jimbo la Kibakwe, Mhe. Simbachawene awaacha wapinzani wake mbali sana.
1. Simbachawene18,158
2. Mwanyinge 6901
3. Mnyang'ali 3562
4. Sabas 430
5. Ngiliule 214
6. Bendela 410
7. Shahel. 279
Hongera sana Mhe. Simbachawene.
Hivi kweli tangu asubuhi hadi usiku watanzania tunatumia Bidhaa ya Nje badala ya nchini kwetu. Mimi najua nakunywa uji, chai au supu ya hapa hapa nchini. Ugali wa muhogo, mahindi, uwele au mtama wa hapa hapa nchini kwetu
Ninasikiliza na kuangalia EATV sasa hivi na Mhe. Tundu Lisu kasema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata.
Jamani Viongozi kama Hawa wanatupeleka wapi. Sisi tunaosoma shule za kata kweli tutakipenda Chama chake na Yeye mwenyewe.
Viongozi wetu angalieni kauli zenu. Mnatutia kichefuchefu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.