Ninasikiliza na kuangalia EATV sasa hivi na Mhe. Tundu Lisu kasema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata.
Jamani Viongozi kama Hawa wanatupeleka wapi. Sisi tunaosoma shule za kata kweli tutakipenda Chama chake na Yeye mwenyewe.
Viongozi wetu angalieni kauli zenu. Mnatutia kichefuchefu.