Eti watz tunatumia vitu vya kutoka nje tangu asubuhi. Je ni kweli

ambagae

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
3,241
1,301
Hivi kweli tangu asubuhi hadi usiku watanzania tunatumia Bidhaa ya Nje badala ya nchini kwetu. Mimi najua nakunywa uji, chai au supu ya hapa hapa nchini. Ugali wa muhogo, mahindi, uwele au mtama wa hapa hapa nchini kwetu
 
Anamaanisha vitu Vya viwandani kaka,kama mafuta,viberit,nguo,viatu,baiskeli nk
 
Alisisitiza juzi wakati wa kupitisha bajeti akisema kama nchi hatutaweza kuishi bila mikopo ya nje tena kwa kuwabeza ukawa. Leo kafikiri vizuri tena! Ccm hamnazo kabisa aiseee...eti kuchangia ubora wake kwa wanachi hadi awe rais. Bungeni ni mwendo wa ndioooooo akitoka anaanza kebehi kwa wananchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom