Naomba mamlaka husika zichukue hatua dhidi ya baadhi ya waendesha BODABODA wanaoweka vijiwe visivotambulika katika mtaa wa KIBAMBA LUGURUNI ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu na kuwatishia usalama wakazi.
Kumekuwa na matukio ya uporaji,wizi na unyang’anyi yanayohusishwa na...
Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Kazi na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Kampuni ya Target Tours and Labour Surply Company Limited, imetangaza fursa za ajira kwa madereva wa pikipiki katika nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Serikali leo Jumatatu...
MAVUNDE AZINDUA SACCOS YA WAENDESHA PIKIPIKI NA BAJAJ DODOMA.
▪️Atoa rai SACCOS kuwainua Vijana kupitia mkopo wa Asilimia 10
▪️Ataka Vijana wamiliki vyombo vyao vya usafiri
▪️Wampongeza Rais Samia kwa ujenzi wa ofisi ya Waendesha Pikipiki na Bajaj Dodoma(UMAPIDO)
Dodoma
Mbunge wa Jimbo la...
Rwanda imezindua maabara ya kwanza barani Afrika kwa ajili ya kupima ubora wa kofia za waendesha pikipiki ili kuhakikisha usalama wao. Juhudi hii, ambayo ni sehemu ya Mradi wa ‘Tuwurinde’, inalenga kupima kofia dhidi ya viwango vya kitaifa vya usalama na kupunguza hatari ya majeraha ya kichwa...
Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye amekuwa akiwawezsha vijana hapa mkoani, yote haya yakiwa ni katika kuungwa mkono dhidi ya Sugu!
Sawa...
Kinachofanywa na maafisa bima wilaya ya Mbogwe kinatia mashaka sana kwa wamiliki wa pikipiki na kwa waendeshaji wengine wa pikipiki kwa jina maarufu bodaboda katika wilaya ya Mbogwe. Niliwahi kutoa malalamiko ya aina hii lakini Kwa Sasa naona ni kama historia inajirudia.
Ukusanyaji wa hela za...
Hawa madereva wa pikipiki wanaofanya pikipiki zao kupika kelele ikiwemo milipuko kama mabomu wanasababisha kelele zisizo za lazima hivyo màmlaka zinazohusika zijitahidi kukomesha tabia hizi ambazo hazina tija.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.