Mhe. Simbachawene ashinda kwa kishindo kura za maoni CCM Jimbo la Kibakwe

ambagae

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
3,241
1,301
Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Kibakwe, Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene amekuwa kati ya mawaziri wa Serikali ya Kikwete walioshinda kwa kishindo katika Jimbo la Kibakwe Baada ya kuwaacha wapinzani wake kwa mbali sana.

1. Simbachawene18,158
2. Mwanyinge 6901
3. Mnyang'ali 3562
4. Sabas 430
5. Ngiliule 214
6. Bendela 410
7. Shahel. 279
 
Message kubwa zaidi niliyoipata kwenye post yako ni kwamba Kibakwe wanaCCM 29,954 walipiga kura ya maoni! Pengine hawa ni nusu ya wanaCCM wote huko. So, unataka kutuambia Kibakwe ina zaidi ya wanachama wa CCM 59,908! Acheni basi porojo.
 
Na jimbo hilo la Kibakwe lina wananchi wangapi waliojiandikisha kupiga kura? Maccm bana!
 
Back
Top Bottom