Search results

  1. M

    Ndugu Mtanzania: Je unajua hili?

    Tanzania inakwenda wapi? naogopa
  2. M

    Mwandishi Dennis Msaki ajiuzulu "Nipashe"

    Jamani haya ni mambo ya kawaida Every body looks fo green pastures. au vipi.
  3. M

    Hello JF Community

    Karibu sana na uwe mkali na kupendwa kama bia ya Mtikila ( safari larger )
  4. M

    Uyoga uliwaponza

    Jamaa na mkewe walikuwa wakitokea shamba. Wakiwa njiani waliona uyoga pori, wakaamua kuung'oa na kwenda nao nyumbani kwa lengo la kwenda kupika na kuula. Lakini kabla ya kufika nyumbani, wakahofu kwamba ule uyoga pori unaweza kuwa na sumu. Basi wakaamua wapike kiasi kidogo kwanza wampe mbwa wao...
  5. M

    Tanzania offers Arusha as ICC Africa regional seat

    Asante urith wetu.Comments zako zot ni sahihi hasa hiyo ya mwisho. That J.K visit to Usa and the comments made by news papers' writers followed by some kenyas comments are misplaced in this place. The isue here is Tanzania offered Arusha as ICC Africa regional seat then comment on it and let...
  6. M

    Sarafu Moja Afrika Mashariki?

    Mnao sema sarafu moja itasaidia naomba mnielimishe mwenzenu. kwa mawazo yangu uchumi au kuongeza kipato cha taifa hakitatokana na matumizi ya sarafu moja Afrika mashariki.Kama unazalisha kitu chenye kuuzika kwa wingi hata sasa hivi utapata fedha nyingi tu za kenya, Tanzania na uganda na za nje...
  7. M

    Kenyan media voice curiosity over JK, Obama meeting

    Nimesoma Articles zote na ninaungana na aliyesema Tanzania na kenya ni ndugu na majirani sasa hilo zozo lililo anzishwa na waandishi wa habari :that tanzania Elbows Kenya lina anzia wapi? na wengine kumtukana P kikwete kwamba His survival is through begging. mjadala huu kweli umekwenda nje...
  8. M

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Mwanafyale usijali Tulipamwinga( tupo pamoja ).Na ukipona kaza kamba mpaka Mafisadi wajue kuwa Si wa wananchi wa tanzania tu wanaokutakia mema bali dunia nzima na Mungu pia yu upande wako.Mungu akiwa upande wako ni nani atakeye kudhuru? Mwanafyale kaza kamba Wanyalu wote wapo pamoja nawe
  9. M

    Utumwa wa hiyari

    Asanteni kwa maoni yenu. Lakini je mnakubaliana na mwandishi kuwa sababu ya vijana kujiona afadhali kuwa mtumwa au mfungwa ughaibuni inatokana na serikali au kwa ujumla wake Tanzania kutokuwa na sera madhubuti kwa vijana ili waone maisha yao ya baadaye ndiyo sababu ya vijana kuishia ni sahihi...
  10. M

    Mapendekezo ya sera mpya ya Habari

    Inasikitisha.Tatizo siyo kuwa na Vyombo vingi vya habari. kama alivyo sema Waziri mkuu Mizengo Pinda kwamba kupambana na Mafisadi ni kazi ngumu kwani wana nguvu ya fedha na mtandao mkubwa.je wenzangu mmewahi kusikia habari za kundi la mafia lilivyo sumbua nchi huko Italy. kuja kujua ni kuwa...
  11. M

    Utumwa wa hiyari

    Ndugu mwana jamii forum soma kipande hiki toka gazetini Kihusucho utumwa hiari. Je tufanyeje nini kwa vijana wetu ili waepuke aina hii ya utumwa? From RAIA MWEMA 18/02/2009 UTUMWA WA HIARI WAJA Sasa tujiandae kushuhudia watoto wetu wakikimbilia utumwani kwa maelfu, Wazazi na...
Back
Top Bottom