Search results

  1. C

    Waziri wa Kilimo tupe msimamo wa serikali juu ya lumbesa katika zao la vitunguu

    Ndugu mheshimiwa Waziri wa Kilomo Hussein Bashe,Kumekua na utata mkubwa juu ya ushonaji wa gunia za Lumbesa hasa kwa mazao ya vitunguu. Wakati wa mavuno.Mheshimiwa ulitoa tamko Mkoani Mbeya msimu wa nanenane ukiwa na mheshimiwa number one,juu ya katazo la ushonaji wa magunia makubwa (Lumbesa)...
  2. C

    Watanzania tumepoteza Madini, Gesi, Misitu na vingine vingi kwa kusingizia wakoloni. Je, hata Kilimo kwanza tuko tayari tukipoteze?

    Watanzania tumepoteza Madini,Gas,Misitu na Mengine mengi kwa Kusingizia wakoloni.Je,Hata Kilimo kwanza tuko tayari tupoteze? Haiwezekani kantangaze asumbue namna hii pamoja na magugu mengi yaharibuyo mimea.Huku ni kujinyima vipaumbele na kuwalinda mabeberu wa kienyeji. Tafiti za masoko...
  3. C

    TUKTA NA RAAW KUNANI

    TUKTA tuanawaomba viongozi wafuatilie RAAW na utendaji wake kuna Migongano iliyopelekea Taasisi zilizo chini yake kupokwa stahiki zote anazostahili mfanyakazi kupewa na mwajiri. Kuna mstaafu kanda ya ziwa amestaafu anaendelea kuombaomba kwa wafanyakazi wenzake na hatma haieleweki na Mafao ndo...
  4. C

    Tunaomba Tume huru,Hivi Magogoni hawapokei simu niwapieeeee

    Kwa yoote haya yatokanayo na ccm na serikali yake kuweka Madaktari wa Kuyumbisha mihemuko ya Watanzania ( Spinning Doctors) na Miaka 40 ya ccm imeshindwa hata kutupa uhakika wa Maji, Madawa,Madawati na Mengine mengi,Magufuli huna la kutudanganya tena,Tuombe urudishe Mchakato wa...
  5. C

    Crdb mnatuchanganya

    Nimeomba card yangu iwezeshwe online purchase mwaka 2014 nikawezeshwa then nikaenda Bank kui-undo hiyo service,nikataka huduma tena ya kuwezeswa kard ikagoma nikajaribukuwaona na kupiga simu mara nyingi kupata ushauri haijawezekana. nikapata wazo la kupata sub-reference card service,nakajarib...
  6. C

    Naomba kujuzwa

    je kuna dawa ya kusaidia kukuza cognition level kwa ajiri ya watoto wanaopata taabu shuleni?, na je kuna madhara yoyote kutumia dawa hizo na kama yapo nini mnashauri,na kama kuna aliyetumia mtoto alifika level gani ya elimu.na gharama zake zikoje
  7. C

    Nahitaji kusaidiwa jinsi ya kupata gear box mpya

    Salaam kwa wanajamvi, Tafadhari naomba kusaidiwa kupata gear box mpya ya Pick up Hilux(automatic au vinginevyo) ya kipindi kati ya mwaka 2006 hadi 2014.hata kama ikipatikana ya isuzu coster siyo tatizo. Nawasirisha.Bei iwe nafuu siyo kuumizana mbavu.
  8. C

    Ushauri kwa tume ya uchaguzi

    Kwa kuwa wananchi nimegundua wapiga kura hawana moral(ari) kujitokeza kupiga kura naishauri tume ya uchaguzi iandike Budget ya kuwalipa wapiga kura japo elfu kumi na tano,nimegundua vijana wengi hawajitokezi kwa sababu hawana uhakika na siku husika wataimaliza vipi,na uzalendo umepotea kutokana...
  9. C

    hivi Muhongo anashida gani?

    from Vituko vya Muhongo amshambulia ofisa wake mbele ya Wageni,Posibly Muhongo anajua nini kinaendelea katika nchi hii hadi Tembo wamekwisha. Haiwezekani awe jeuri wakti taifa linaangamia. Muhono tueleze kwanini umepandisha Bei ya Umeme wakati hua unajiona Mungu mtu na hakuna linalo kushinda,tel...
  10. C

    siwezi kuwaelewa watanzania

    Kwa mambo mawili tuu nashindwa kuelewa kama kweli sisi watanzania ni huru au watumwa, 1.Kupanda gharama ya umeme na watanzania kuishia ukimya usokuwa na mashiko. 2.Kuambiwa ATI Daftari la wapiga kura haliwezi rekebishwa kwa Sababu hakuna mafungu. Siwaelewi Watanzania,Kuna mtindo wa...
  11. C

    Hii ni kodi ya maendeleo imerudi

    Ndugu wanajamii,Kitendo cha Waziri wa Fedha kutangaza Kodi ya Kadi za Simu ni kuturudisha Katika Kodi ya Maendeleo bila Hata sisi wenyewe kujua. Hebu Tafakari ni kodi ngapi Mtanzania wa kawaida analipa kwa kila Mwezi: Kila unapolipia umeme kuna VAT inachajiwa kwa kila manunuzi...
  12. C

    Heloo,I am a New Comer

    Honestry,Ni mimi KUKU Mgeni hapa jukwaani,so, Naombeni Mwongozo wenu nisije pata Burn,Any way Hope makamanda wote mko poa.
Back
Top Bottom