Kwa yoote haya yatokanayo na ccm na serikali yake kuweka Madaktari wa Kuyumbisha mihemuko ya Watanzania ( Spinning Doctors) na Miaka 40 ya ccm imeshindwa hata kutupa uhakika wa Maji, Madawa,Madawati na Mengine mengi,Magufuli huna la kutudanganya tena,Tuombe urudishe Mchakato wa Katiba,Uruhusu Tume Huru ya Uchaguzi ilimradi basi hata watoto wetu wasijeambulia Mashimo yatokanayo na uchimbaji madini bila tija na Tembo hewa Mbuga zote,waone hata jambo moja la maana ccm ililofanya.Kwa kifupi dhuruma imetawala nchi hii pamoja na uvunjifu wa Katiba.
Hebu ccm kuweni na soni hata kidogo mnataka mshindwe mangapi ili mjue kua hamna jipya.
Hivyo viwanda vya waturuki,na Mfalme wa Moroco,sioni dalili za Kufanikiwa,Gas hata ya kupikia Majumbani imewashinda,Hivi hamjioni kuwa labda mna laana flani hivi mpaka Uhuru Kenyata anawashinda mbinu za kuongoza nchi,nyie kila Rais akiingia mnaanza upya,ni nani amewanyima maalifa ccm,Mrudieni Mungu basi,Tubuni mtasamehewa.