Hii ni kodi ya maendeleo imerudi

Hii ni kodi ya maendeleo imerudi

Camp 05

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
3,012
Reaction score
2,905
Ndugu wanajamii,Kitendo cha Waziri wa Fedha kutangaza Kodi ya Kadi za Simu ni kuturudisha Katika Kodi ya Maendeleo bila Hata sisi wenyewe kujua.

Hebu Tafakari ni kodi ngapi Mtanzania wa kawaida analipa kwa kila Mwezi: Kila unapolipia umeme kuna VAT inachajiwa kwa kila manunuzi yanayofanyika,Kila unapofanya ununuzi wa voucher ya simu kuna kodi unalipa,Kila unaponunua Bidhaa Kariakoo kuna kodi unalipa,Kila unapoingia Katika kituo cha Mabasi ubungo kuna ushuru unalipa,Kila Mwisho wa Mwezi Mtumishi wa uma anaripa kodi,Kila mtu anapopiga simu katika Airtime anakatwa kodi.

By the way ndio maana rushwa haiwezikwisha katika mfumo wa maisha ya watanzania kwa sababu kwa mfano tuchukulie umeme,taarifa zinaonyesha nchi zote za SADC Tanzania ndio yenye bei za juu kuliko zote,na kwa namna hiyo hiyo,Tunamshauri Mkuu wa Kitengo anapotokea Dar es salaam kuja Chalinze hebu asiongee na mtu ajaribu kuona vibanda wanamo kaa wapiga kura wake,its a Total shame to us.

Ni bora Mikodi hiyo ingeboresha mfumo wa Maisha.Hebu mtu anaelekea Mbeya leo aangalie Mikumi jinsi vijana wanavyohangaika kusukuma mikokoteni ya Maji Barabarani kutwa nzima,Barabara za nchi za jirani ni nzuri kuliko zetu,Mmeruhusu Maroli yanatibua Barabara zote kwa kuua Reli,what a poor plan are we having,hivi sisi tumerogwa na nani?
 
Halafu hizo kodi zetu zinapopelekwa chadema kama ruzuku, anatokea mtu kama Slaa anazikopa kujengea jumba lake la kifahari. Dahh, inasikitisha sana.
 
Leo asubuhi nimeanza kupata machungu ya kukatwa kodi ya line ya cm, nilikuwa na shida sana ya kuwasiliana ili kutatua matatizo yanayonikabili na ndugu zangu pia. Nimeweka Tsh. 1000 ghafla nilipopiga nikaambiwa sina salio nimeshangazwa sana na kitendo hiki na kuumizwa sana maana nilikuwa na hiyo hiyo 1000, baada ya kukumbuka kumbe CCM walishachukua chao.

Ndugu zangu nimeamua kurusha uzi huu kwa kutafakari mengi sana, kwani nimejaribu kutafakari LUNDO la kodi ninazokatwa na impact ya moja kwa moja ama isiyo moja kwa moja katika maisha yangu binafsi na familia yangu kwa mapana yake. Ndugu zangu miongoni mwa kodi ninazokatwa bila kuona mafanikio yake ni:-

  1. PAYE
  2. VAT KATIKA MANUNUZI YOTE MADUKANI
  3. LINE YA SIMU
  4. VOCHA
  5. HANDSET
  6. MPESA NA AIRTEL MONEY
  7. KODI YA ARDHI
  8. KODI YA MAKAZI
  9. KODI YA VIWANJA
  10. KODI YA VIBANDA VYANGU VYA BIASHARA
  11. KODI YA MAZAO
  12. KODI YA GARI, MOTOR VEHICLE
  13. kODI YA FIRE
  14. NK, NK, NK, NK

Ndugu zangu wakati huo nina mlundikano mkubwa wa kodi hizi bado ninalipa umeme kwa serikali hiyo hiyo inayonikamua kila siku kodi, bado ninalipia maji, nyumba, ada na vingenevyo vingi sana na sioni mazingira yoyote yale yanayorahisisha maisha yangu.

Ndugu zangu ndiyo maana kwa uchungu mkubwa sana ninaoendelea kuupata chini ya serikali hii inayoongozwa na ccmn nimejikuta nashangaa sana kuona eti bado kuna Watanzania masikini kama mimi bado wanajiita ni wana ccm ndani ya mateso haya makubwa tunayoyapata.

Ndugu zangu ninapoandika thread hii ninaona uchungu unanizidi ngoja niishie hapa na niwatakie kila la kheri Wana ccm waendelee ku enjoy MAISHA chini ya serikali yao.

Naomba kuwasilisha machungu yangu na ku declare kwamba ninaichukia sana ccm na sitakaa nishawishike na yeyote yule aliyeko ccm wala mfumo wake.​
 
Mungu wape watanzania roho ya wamisri kwa muda then uwarudishie baada ya kufanya mabadiliko ya uongozi badala ya sasa wao kila siku ni kulalamika kuanzia raisi mpaka mtanzania mlalahoi, Amen.
 
Hiyo ndiyo halisi ya Bongo, mtu asiye nacho anawekewa kodi mpaka kwenye nywele, wale walio nacho wanawekewa mbinu za kukwepa kama tax holidays ambapo happy hour ikiisha wanahamishia umiliki wa kampuni kwa ndugu zao na kamtindo ka tax holiday kanaendelea. Swali kubwa la kujiuliza ni kuwa ni wangapi ambao wanatunyanyasa hivi? Kama tunaonyanyaswa ni wengi zaidi kwa nini kusiwe na uprise dhidi ya hawa mafisadi wachache? Tutafakari sasa na tuchukue hatua!
 
Pole sana. Nakupa pole utadhani labda mimi sikatwi na hii ndio tabia yetu watanzania. Wabunge wote wanaleta unafiki, tena wabunge vijana kama Makamba na Zitto ndio wamekaa pembeni wakitusanifu kuwa 'andamaneni mpinge hiyo kodi'.
Pamoja na yote inabidi tufanye kitu, tukikaa kimya wanaendelea kutukamua. Chukulia mfano kama cdm wangeliamua kukaa kimya kwa maana wanayemtegemea awalinde ndiye anahatarisha usalama wao ....lakini ile kupata wazo la kujibu mapigo kwa kijiundia kajeshi kao ka kujilinda na wala sio kushambulia kama wao si unaona katika muda usiozidi masaa 48 kuanzia mkuu wao hadi hao wanaowalinda wote wameshatoa matamko elfu kidogo!
Let us do something badala ya kuendelea kulalamika maana hawa wau hawana kabisa ubinadamu
 
Hapo bado. tutajuta sana kuirudisha CCM madarakani. ilitakiwa iishie 2010.
Leo asubuhi nimeanza kupata machungu ya kukatwa kodi ya line ya cm, nilikuwa na shida sana ya kuwasiliana ili kutatua matatizo yanayonikabili na ndugu zangu pia. Nimeweka Tsh. 1000 ghafla nilipopiga nikaambiwa sina salio nimeshangazwa sana na kitendo hiki na kuumizwa sana maana nilikuwa na hiyo hiyo 1000, baada ya kukumbuka kumbe CCM walishachukua chao.

Ndugu zangu nimeamua kurusha uzi huu kwa kutafakari mengi sana, kwani nimejaribu kutafakari LUNDO la kodi ninazokatwa na impact ya moja kwa moja ama isiyo moja kwa moja katika maisha yangu binafsi na familia yangu kwa mapana yake. Ndugu zangu miongoni mwa kodi ninazokatwa bila kuona mafanikio yake ni:-

  1. PAYE
  2. VAT KATIKA MANUNUZI YOTE MADUKANI
  3. LINE YA SIMU
  4. VOCHA
  5. HANDSET
  6. MPESA NA AIRTEL MONEY
  7. KODI YA ARDHI
  8. KODI YA MAKAZI
  9. KODI YA VIWANJA
  10. KODI YA VIBANDA VYANGU VYA BIASHARA
  11. KODI YA MAZAO
  12. KODI YA GARI, MOTOR VEHICLE
  13. kODI YA FIRE
  14. NK, NK, NK, NK

Ndugu zangu wakati huo nina mlundikano mkubwa wa kodi hizi bado ninalipa umeme kwa serikali hiyo hiyo inayonikamua kila siku kodi, bado ninalipia maji, nyumba, ada na vingenevyo vingi sana na sioni mazingira yoyote yale yanayorahisisha maisha yangu.

Ndugu zangu ndiyo maana kwa uchungu mkubwa sana ninaoendelea kuupata chini ya serikali hii inayoongozwa na ccmn nimejikuta nashangaa sana kuona eti bado kuna Watanzania masikini kama mimi bado wanajiita ni wana ccm ndani ya mateso haya makubwa tunayoyapata.

Ndugu zangu ninapoandika thread hii ninaona uchungu unanizidi ngoja niishie hapa na niwatakie kila la kheri Wana ccm waendelee ku enjoy MAISHA chini ya serikali yao.

Naomba kuwasilisha machungu yangu na ku declare kwamba ninaichukia sana ccm na sitakaa nishawishike na yeyote yule aliyeko ccm wala mfumo wake.​
 
Hapo bado. tutajuta sana kuirudisha CCM madarakani. ilitakiwa iishie 2010.

Umenena kweli mkuu, yaani kama kuna wakati Watanzania wamewahi kutandikwa fimbo chungu za MAISHA MAGUMU KWA KILA MLALA HOI na serikali ya ccm si wakati mwingine bali ni sasa.

waungwana! tukijilalamisha huku mitandaoni haisaidii lolote. Suluhisho la haya yote ni 2014/2015 system nzima iondike period...
 
Halafu hizo kodi zetu zinapopelekwa chadema kama ruzuku, anatokea mtu kama Slaa anazikopa kujengea jumba lake la kifahari. Dahh, inasikitisha sana.

Kweli wewe ni zombie la ccm,EPA,green finance,meremeta n'a uharamia mwingine wa kipuuzi mfanya n'a
Slaa n'a CHADEMA?? IDI.OTT!!!
 
Vipi, ya Slaa kukopa fedha zetu za kodi na kumjengea mke wa mtu jumba la kifahari na kumweka ndio awe mwangalizi mkuu wa fedha za chadema ni sawa au sio?
 
Acha kuleta porojo na kufikiri kwa kutumia tumbo, Slaa alikopa ama alijichotea tu? Na kama alikopa nenda makao makuu ya Chadema uchunguze kama hakatwi kwenye mshahara wake kila mwezi jambo ambalo hata sisi wafanyakazi wengine tunasaidiwa mahali tunapofanya kazi na kama ikitokea kazi imekoma tunafanya makubaliano mbadala tutarudishaje PESA hiyo.
 
Waambie
Maana wao wanapenda kuangalia kwenye Bia na Petrol tu halafu mtu anatembea na maSimu 3 yote ya nini
Ni sawa kabisa sasa wotoze kodi kwenye simu ili kupunguza ongezeko la bei za mafuta
Na hata wanao jenga nyumba nyingi kwa vimada na kwa wake za watu waanze kutozwa kodi kwani Ruzuku inayoenda kwenye vyama ni nyingi na hazifiki Mikoani wafuasi wao wanakosa hata Posho licha ya Usafiri walioahidiwa wa pikipiki na magari
 
Acha kuleta porojo na kufikiri kwa kutumia tumbo, Slaa alikopa ama alijichotea tu? Na kama alikopa nenda makao makuu ya Chadema uchunguze kama hakatwi kwenye mshahara wake kila mwezi jambo ambalo hata sisi wafanyakazi wengine tunasaidiwa mahali tunapofanya kazi na kama ikitokea kazi imekoma tunafanya makubaliano mbadala tutarudishaje PESA hiyo.

Ahsante kwa kutujuza kuwa alijichotea tu, kwa hiyo akijichotea tu, ni sawa au sio?
 
Ndugu wanajamii,Kitendo cha Waziri wa Fedha kutangaza Kodi ya Kadi za Simu ni kuturudisha Katika Kodi ya Maendeleo bila Hata sisi wenyewe kujua.

Hebu Tafakari ni kodi ngapi Mtanzania wa kawaida analipa kwa kila Mwezi: Kila unapolipia umeme kuna VAT inachajiwa kwa kila manunuzi yanayofanyika,Kila unapofanya ununuzi wa voucher ya simu kuna kodi unalipa,Kila unaponunua Bidhaa Kariakoo kuna kodi unalipa,Kila unapoingia Katika kituo cha Mabasi ubungo kuna ushuru unalipa,Kila Mwisho wa Mwezi Mtumishi wa uma anaripa kodi,Kila mtu anapopiga simu katika Airtime anakatwa kodi.

By the way ndio maana rushwa haiwezikwisha katika mfumo wa maisha ya watanzania kwa sababu kwa mfano tuchukulie umeme,taarifa zinaonyesha nchi zote za SADC Tanzania ndio yenye bei za juu kuliko zote,na kwa namna hiyo hiyo,Tunamshauri Mkuu wa Kitengo anapotokea Dar es salaam kuja Chalinze hebu asiongee na mtu ajaribu kuona vibanda wanamo kaa wapiga kura wake,its a Total shame to us.

Ni bora Mikodi hiyo ingeboresha mfumo wa Maisha.Hebu mtu anaelekea Mbeya leo aangalie Mikumi jinsi vijana wanavyohangaika kusukuma mikokoteni ya Maji Barabarani kutwa nzima,Barabara za nchi za jirani ni nzuri kuliko zetu,Mmeruhusu Maroli yanatibua Barabara zote kwa kuua Reli,what a poor plan are we having,hivi sisi tumerogwa na nani?

Mkuu, hii kodi ya simu ni zaidi ya kodi ya maendeleo/kichwa. Nakumbuka kodi ya maendeleo ilikuwa tshs 4000/-, kodi ya simu laini moja ni tshs 12000/-. Hapa unaona jinsi hela ya kampeni za uchaguzi inavyotafutwa. Kufikia 2015 mafisadi watakuwa na mabilioni ya tshs. Hakuna tena uwezekano wa kuwatoa madarakani mkuu!
 
Leo asubuhi nimeanza kupata machungu ya kukatwa kodi ya line ya cm, nilikuwa na shida sana ya kuwasiliana ili kutatua matatizo yanayonikabili na ndugu zangu pia. Nimeweka Tsh. 1000 ghafla nilipopiga nikaambiwa sina salio nimeshangazwa sana na kitendo hiki na kuumizwa sana maana nilikuwa na hiyo hiyo 1000, baada ya kukumbuka kumbe CCM walishachukua chao.

Ndugu zangu nimeamua kurusha uzi huu kwa kutafakari mengi sana, kwani nimejaribu kutafakari LUNDO la kodi ninazokatwa na impact ya moja kwa moja ama isiyo moja kwa moja katika maisha yangu binafsi na familia yangu kwa mapana yake. Ndugu zangu miongoni mwa kodi ninazokatwa bila kuona mafanikio yake ni:-

  1. PAYE
  2. VAT KATIKA MANUNUZI YOTE MADUKANI
  3. LINE YA SIMU
  4. VOCHA
  5. HANDSET
  6. MPESA NA AIRTEL MONEY
  7. KODI YA ARDHI
  8. KODI YA MAKAZI
  9. KODI YA VIWANJA
  10. KODI YA VIBANDA VYANGU VYA BIASHARA
  11. KODI YA MAZAO
  12. KODI YA GARI, MOTOR VEHICLE
  13. kODI YA FIRE
  14. NK, NK, NK, NK

Ndugu zangu wakati huo nina mlundikano mkubwa wa kodi hizi bado ninalipa umeme kwa serikali hiyo hiyo inayonikamua kila siku kodi, bado ninalipia maji, nyumba, ada na vingenevyo vingi sana na sioni mazingira yoyote yale yanayorahisisha maisha yangu.

Ndugu zangu ndiyo maana kwa uchungu mkubwa sana ninaoendelea kuupata chini ya serikali hii inayoongozwa na ccmn nimejikuta nashangaa sana kuona eti bado kuna Watanzania masikini kama mimi bado wanajiita ni wana ccm ndani ya mateso haya makubwa tunayoyapata.

Ndugu zangu ninapoandika thread hii ninaona uchungu unanizidi ngoja niishie hapa na niwatakie kila la kheri Wana ccm waendelee ku enjoy MAISHA chini ya serikali yao.

Naomba kuwasilisha machungu yangu na ku declare kwamba ninaichukia sana ccm na sitakaa nishawishike na yeyote yule aliyeko ccm wala mfumo wake.​

Napenda ku Quote
"Our staggering national debt is due in lager part of highly educated politicians and government official making financial decisions with little or no training in the subject of money" By Robert T. Kiyosaki"
 
Shida ni kwamb nchi tumeiksbidhi kwenye mikono ys madalali na tucpoangalia tukachukua hatua tutakuja daiwa kodi ya pumzi tunayovuta
 
Ubaya au uzuri ni kwamba haya machungu tunayapata wote,hakuna cha ccm au cdm,labda yule ccm ambaye yupo kwenye mrija wa unyonyaji huu..lakini hata hivyo shangazi au mpwa wake kule kijijini anayaonja haya machungu...nchi inatawaliwa na watu wenye roho mbaya,wanakesha kwa kupanga jinsi ya kumkwamua mnyonge ili waweze kujinufaisha wao na familia zao..hapo hapo unamkuta zuzu fulani linatete bila kujali kwamba kuna ndugu au watanzania wenzake wanaumia..nawapa pole sana wale ma diehards wa ccm hii dhahama ni yetu wote.wanao nufaika ni wachache mno..serikali kupitia kodi za line itakuwa inakusanya sio chini ya 30bilioni kwa mwezi..lakini matumizi yake yataishia kwenye alowance,mashangingi,trip za kipuuz nje na ndani ya nchi,kampeni za ccm nk..ni aibu kubwa serikali kuwakamua wananchi wake kwa manufaa ya wachache waliopo madarakani..kodi tunalipa lakini kijijini kwetu kufika kwenye zahanati ni 50km.jaman tuoniane huruma,nyie kuepo hapo sio kwamba mnapendwa sana na mungu,ni mfumo tu wa kimaisha.
 
July hii kila kitu bei juu. Cha ajabu zaidi ni gharama za mitando: M-pesa, internet...CCM wameamua kutokuwa na huruma kwa watanzania maskini.
 
Back
Top Bottom