Pole sana ndugu,
unajua mimi binafsi naelewa kabisa unacho sema kwamba unataka kurudi na unafeel stress. Mimi nilikuwa katika hali kama yako four years back. Kama hiyo hali imekupata najua kabisa itakuwa inakukosesha usingizi, nyumbani ni nyumbani tu.
Sasa labda nitoe angalizo.
1. Najua huko...
Unajua ninacho kiona hapa ni kwamba watu hawana magari ya d4 engine ila wanatoa comments zao, ukichunguza vizuri wote wenye magari ya d4 engine wanasema hawajawahi pata tatizo. Mimi nikiwa mmja wao sijawahi pata tatizo la d4 engine huu mwaka wa nne sasa. Na mafuta nimesha jaza ovyo ovyo vituo...
Ok kwahiyo haiwezekani kununua from amazoni, inakatisha tamaa sana. Kuna anaye jua website ambayo mtu anaweza tumia kuagizia vitu to nje na vikafika hapa Tz safely.?
Hali zenu wanajamvi. Hivi kunamtu yeyote ameshawahi nunua / agiza vitu kwa website ya AMAZON.COM vikawa delivered hapa Tanzania. Naomba kama kuna mtu amesha wahi fanya hivyo anipe experience yake.
Enjoy .
Ndugu KUNA MAGUMU MENGI SANA KWENYE KUTAFUTAKAZI. TENA NI MBAYA SANA KAMA UNAFAMILIA MIMI NILIKUWA SINA KAZI FOR A YEAR MKEWANGU ALIKUWA ANAKAZI BAHATI NILIYO NAYO NI KWAMBA MY WIFE TUNAELEWANA NA KUHESHIMIANA SANA SIKUWAHI KUJISIKIA KUNYANYAPALIWA. ILA IS A VERY BAD EXPERIANCE IN LIFE, NI A...
Labda nikushauri hivi, sun LG, za sasa sio kamzile zilizokuwa toleo la miakamiwiliiliyopita, sasa hivi wanauza tu jina lakini pikipiki hizi za sasa hazina uimara mzuri sana. Tafuta majina mengine ya pikipiki kama SUKIDA ni nzuri mimi niayo, zinapatika alog uhuru road mita kama 150 kama unatoka...
Ndugu yangu, nadhani umefika njia panda kidogo. Labda nikusaidie kidogo kuhusiana na maandiko juu ya oponyaji na imani. Labda tusome Yohana 5:2 NAHUKO YERUSALEM ( Arusha, Loliondo) PENYE MLANGO WA KONDOO PANA BIRIKA, IITWAYO KWA KIEBRANIA BETHZATHA, NAYO INA MATAO MATANO. 3 NDANI YA HAYO JAMII...
Bandugu,
Hamjambo, naombeni msaada wenu, kwa mtu anayejua namna ya kupa ta hii software ya adobe photoshop element 4.0 ama version ya juu yake, nimepoteza cd ya camera yangu, so the only way to download pictures kutoka kwa camera yangu ni kwa kutumia hii program. naomba mnisaidia bandugu.
Poleni sana wanyoa ndevu wenzangu. Mimi nilikuwa natatozo hilo lakini niliamua achana na viwembe vya kunyolea including gillete wanavyo sema ni nzuri, kwa sasa natumia mashine ya kunyolea, kwa sasa tatizo hilo limekwisha kabisa. nikitumia mashine sipati kipele hata kimoja.
Hi Wanajamii
Jamani naomba ushauri wenu nataka nunua gari aina ya VOLKSWAGEN POLO/GOLF, naomba ushauri wenu kwa wale wanao yajua magari ya kijerumani.
Kaeni imara.
Huyu bwana naona hakufikiri kabla aandike hii post.
Serikali ni kweli haina dini, ila wafayakazi wa serikari wanadini, sasa basi unapoona sherehe hizi za xmass zinashamrashamra nyingi maofisini UJUE KUWA WENGI WALIOMO KWA MAOFISI HAYO NI WAKRISTO, AMBAYO PIA INAMAANISHA NI WASOMI WA KIKRISTO...
Sasa attempti ya kwanza ya New World Order ilianza kipindi cha Babel, Mungu akaisambaratisha Bilblia (Mwanzo 11:1-8). Kinacho endelea sasa hivi ni muendelezo, ukiweza kuelewa plans za new world order ndio utaweza elewa inavyo endelezwa. Ukisoma, Ufunuo 13, utaelewa end result ya NWO hasa ule...
Ahaa is one of themones......, Watu wawe waangalifu sana, yule dogo alie tokeaga last time alikuja kwa design hii hii yupowa pi sasa nobody knows, ONLY! ONLY and ONLY JESUS OF NAZARETH HEALS WITHOUT MASHARTI, WHOEVER BELIEVES IN HIM SHALL BE HEALED. Watch out, hata huyu atapotea kama upepo tu.
Katika kuishi kwangu, kuzaliwa kukulia nakusoma NA KUFANYA KAZI katika jiji la DAR,nnaweza kusema ilikuwa jambo la bahati sana, manake kuna watanzania wengi hawajawahi kufika DSM. Lakini mtazamo wangu wa kuishi, kufanya kazi na kujiendeleza katika jiji la DSM ulibadilika ghafla pale nilipo pata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.