Search results

  1. coby

    BlackBerry required

    Habari zenu wandugu, Katika pita pita za hapa na pale nikaisahau Blackberry(curve 3g) yangu kidogo kama kawaida watu wakaiona dili wakaibeba. Inaniuma kwani ina miezi mitatu tu toka niinunue Tigo shop ikiwa mpyaa, inauma sana. Anyway nisiwachoshe, nalazimika kuzama mfukoni tena kwa aina...
  2. coby

    peugeot 206 engine required

    Natafuta engine Peogeot 206, 1.4cc, year 2000 or higher If u sell or know any one selling please let me know
  3. coby

    Mark II grande gx 110 au Cresta gx 100 Inahitajika

    Wadau, nahitaji mark ii gx 110 au Cresta gx 100. Mwenye nayo au mwenye info yoyote inayohusiana na hii please update me
  4. coby

    Mbarali Kwafukuta

    Nimepigiwa simu na rafiki yangu ambaye yupo Mbeya Wilaya ya Mbarali kuwa vikosi vya FFU vimepiga kambi kule baada ya wananchi kuzuia mwekezaji wa mashamba ya mpunga (NAFCO) kuondoa machine ya kukoboa mpunga iliyokuwepo pale shirikani muda mrefu. Wananchi wanadai ni mwekezaji ni wa muda tu na...
  5. coby

    Police kauwawa vurugu za Arusha

    WanaJF nimeongea na mdau mmoja wa Arusha anasema katika zile vurugu za Arusha kuna jamaa alimchoma visu police officer na kumuua lakini police Arusha wanafanya kila wawezalo kufunika hiyo ishu. Pia gari la maji ya kuwasha lilivunjwa vioo. Mwenye data zinazofanana na hizi atujuze tafadhari
  6. coby

    Uchaguzi 2015; CHADEMA wajiandae kupambana na Ufisadi kura za maoni

    Ni dhahiri kwamba idadi ndogo ya waliojitokeza kugombea ubunge na udiwani kupitia CHADEMA mwaka huu ilitokana na chama hicho kutokujulikana sana hasa vijijini na vilevile kudhaniwa kuwa hawawezi kushinda kwa hiyo watakua wamepoteza fedha na muda wao. Kwa ushindi wa CHADEMA mwaka huu ni...
  7. coby

    Elections 2010 Rangi ya mifuniko ya mabox ya kura yamekaaje pale UTAWALA-MLIMANI

    Wadau nimewahi kupiga kura pale Utawala Mlimani nikiwa mtu wa saba then nikaingia church. Katika tangazo la Tume rangi ya BLUU ni uraisi, NYEUSI ni Ubunge na NYEUPE ni udiwani. Lakini kwenye kituo nilichopigia kura yaani "Utawala-5", Bluu inawekewa ubunge, Nyeusi inawekewa Uraisi. nina wasiwasi...
  8. coby

    Elections 2010 "NDIO MZEE" ya Joseph na ahadi za JK

    Wadau nilikua nasikiliza wimbo wa msanii wa kizazi kipya Joseph Haule maarufu kama Prof. J wa "Ndio Mzee" na ndipo nikaanza kukumbuka ahadi za Jakaya kikwete moja baada ya nyingi kwa zote zaidi ya 70 sasa. Ndipo nikagundua Joseph alikua akimsema moja kwa moja JK kwani hadi hivi sasa amebakiza...
  9. coby

    Elections 2010 Dr. Slaa aongoza kwa 73% - CACT

    Nilikua nasikiliza taarifa asubuhi hii kutoka Radio Free Africa, nimeshtushwa na taarifa ya mtu aliyejitambulisha kua ni mkurugenzi wa taasisi inayojishughulisha na utafiti (CACT) kama wa REDET) akiipinga report ya REDET kwa kusema taasisi yao nayo inaendelea na utafiti huo kwa njia mbalimbali...
  10. coby

    Elections 2010 Slaa`s campaign issues for October elections

    Chadema Presidential candidate Dr Willibrod Slaa last Thursday completed the first round of his campaign trail countrywide, which started on August 30, by addressing a rally at Hedaru in Kilimanjaro Region. Besides the massive support the candidate gained wherever he toured, this reporter...
  11. coby

    Elections 2010 Will JK accept the negative election results??

    As far as I have known Jakaya Mrisho Kikwete, HE is very much in LOVE with the PRESIDENCY. His ambitions was to become the president of the united republic of Tanzania which he acquired in 2005. Now his plan is to remain in power for the next 5yrs by any means("Ushindi ni lazima"). One of his...
  12. coby

    Elections 2010 Revealed: The secret of victory votes to Ikulu

    Revealed: The secret of victory votes to Ikulu By Guardian on sunday team 19th September 2010 About ten regions holds crucial key to decide who will win or lose the election on October 31 this year, The Guardian on Sunday can reveal today. Though traditionally the ruling party has...
  13. coby

    Elections 2010 Dr. Slaa ateka vyombo vya Habari

    Siaza za "Maji taka" zilizoanzishwa na CCM zimemuweka Dr. Slaa kivutio katika magazeti mengi nchini kwa takribani siku kadhaa na kuzika taarifa nyingi za mpinzani wake JK. Wadau hiyo ina manufaa au hatari gani kwa Dr. Slaa KISIASA na hasa katika KURA tar 31??
Back
Top Bottom