Uchaguzi 2015; CHADEMA wajiandae kupambana na Ufisadi kura za maoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi 2015; CHADEMA wajiandae kupambana na Ufisadi kura za maoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by coby, Nov 5, 2010.

 1. coby

  coby JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni dhahiri kwamba idadi ndogo ya waliojitokeza kugombea ubunge na udiwani kupitia CHADEMA mwaka huu ilitokana na chama hicho kutokujulikana sana hasa vijijini na vilevile kudhaniwa kuwa hawawezi kushinda kwa hiyo watakua wamepoteza fedha na muda wao.

  Kwa ushindi wa CHADEMA mwaka huu ni dhahiri kuwa idadi ya wanaotaka kuwania viti mbalimbali kupitia chama hicho itaongezeka maradufu na kufanya zoezi la uteuzi liwe gumu kama ilivyokua CCM. Ni bora CHADEMA wajipange kuhakikisha vigezo vinavyoeleweka na vilivyo dhahiri vinawekwa kuepusha ufisadi katika mchakato wa kura za maoni
   
 2. Lighondi

  Lighondi JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 585
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Agreed!!
   
 3. F

  Fikra Pevu Senior Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Viongozi wa CHADEMA waliangalie jambo hilo kwa tahadhari
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  well said
   
 5. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 521
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pili nawaomba na nitawaombea kwa Mungu walio CHADEMA sasa wasirubuniwe na mafisadi na kukisamabaratisha chama kama ilivyotokea enzi za Mrema wa nccr! Wanachadema mliochaguliwa utu wenu na wa waliowachaguo ni wa maana zaidi kuliko maslahi binafsi!
   
 6. Mh2

  Mh2 Member

  #6
  Apr 7, 2014
  Joined: Apr 7, 2014
  Messages: 91
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Mumeanza kuniogopesha.
   
 7. mdeki

  mdeki JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2014
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 3,303
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Ufisadi ni sehemu ya jamii yote
   
Loading...