Mbarali Kwafukuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbarali Kwafukuta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by coby, Mar 4, 2011.

 1. coby

  coby JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimepigiwa simu na rafiki yangu ambaye yupo Mbeya Wilaya ya Mbarali kuwa vikosi vya FFU vimepiga kambi kule baada ya wananchi kuzuia mwekezaji wa mashamba ya mpunga (NAFCO) kuondoa machine ya kukoboa mpunga iliyokuwepo pale shirikani muda mrefu. Wananchi wanadai ni mwekezaji ni wa muda tu na kila kitu amekikuta na hakuna kuondoka na kitu na wamefunga barabara toka jana hali iliyofanya polisi wa wilayani hapo kuomba msaada wa polisi zaidi kutoka makao makuu ya mkoa ambao wamemwagwa leo pale wakiwa full na bendera nyekungu mikononi.

  Inasemekana yamepigwa baadhi ya mabomu ya machozi na kuwakamata baadhi ya viongozi wa wananchi jambo ambalo limeamsha hasira za wananchi hao na sasa wanasema wanalitaka shamba lote lililochukuliwa na mwekezaji huyo. wanadai hakuna kulala hadi hadi haki itendeke.

  Mwenye habari zaidi tafadhari tumwagie.

  Source: Eye witness
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Good, tumechoka na huu usaliti/uhaini wa CCM kwa wananchi.
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mimi niko mbarali hakuna kitu cha namna hiyo
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Huyo mwekezaji ni nani?ROSTAM au MANJI =JK tu manake hawa ndio wachawi wetu
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Huyo mwekezaji akiondoka wananchi hawataathirika kwa maana ya kupoteza ajira? Kama wananchi hawaoni faidi ya huyo mwekezaji (social responsibility) in maana huyo anachuma tuu na kuhamishia kwao. Aondoke tuu, wananchi watalima hilo shamba wenyewe ingawaje kilimo cha vishamba vidogo vidogo (peasants farming) hakina tija kwa uchumi wa nchi.
   
 6. coby

  coby JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sasa kama umejifungia ndani utapateje utajuaje kinachoendelea? We mwe...u nini??
   
 7. coby

  coby JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ikumbukwe kuwa huyu mwekezaji ndiye yule aliyesababisha mtu mmoja kufa na mwingine kulemaa kwa kupigwa risasi na polisi. Amefunga maji ya matoleo yaliyokuwa yanatumiwa na wananchi wa kilimo kidogo (small scale) na sasa wananchi wale hawawezi tena kulima na kujipatia kipato. Vilevile anakodisha mashamba kwa ghalama kubwa sana kuliko ilivyokuwa hapo awali. Ni mgogoro wa muda mrefu unaochochewa na serikali kuwa upande wa mwekezaji zaidi kuliko upande wa wananchi.
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Tokea achukue hilo shamba amewekeza kiasi gani? Kwa nini anawakodishia wananchi shamba wakati amepewa ili alilime kibiashara?
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  leta uzibitisho sio ushabiki na udaku

  mimi niko huku hakuna kitu cha namna hiyo
   
 10. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Umemuheshimu kweli,naona bora hata nisimjibu coz naweza pewa Bun
   
 11. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  haaa umerudi inchini lini? acha uuuseenge ww. kama huna data shut up!
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Jamani jamani na hii itasingiziwa CHADEMA...
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni kweli hawa jamaa wana kera sana tu lakini hebu punguza mkali...
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wew unajua matusi tu

  mtu akisema uwongo tusimwambie? coby anatengeneza story za udaku
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Swali zuri sana mkuu....................
   
 16. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hee mara hii upo mbarali mbona nimekuona Sinza mori saa nne asubuhi?
   
 17. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  toa uthibitisho kama upo mbarali.
   
 18. Taifaletu

  Taifaletu Member

  #18
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  sauti ya umma hauzimwi kwa risasi.
   
 19. e

  emma 26 Senior Member

  #19
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jf imekuwa sehemu ya kuandikia udaku
   
 20. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Jamani mnaleta moshi toka jikoni hapa barazani tunaomba tuheshimiane kwa kupeana au kupashana habari za kweli na sio umbea na vitu kama hivyo hatuwi Great Thinkers namna hiyo jamani :A S 13:
   
Loading...