Search results

  1. Shaffin Simbamwene

    Wapi nitapata rechargeable battery

    Wakuu Naombeni mnielekeze wapi nitapata NCR 18650B battery maana aliexpress na Ebay siku hizi hawaship Ii-ion battery.
  2. Shaffin Simbamwene

    MSAADA JINSI YA KUWEKA OS X KWENYE POWERBOOK G4

    Habari Wakuu. Nina Powerbook g4 ambayo imekufa HDD nimejitahidi kureplace HDD mpya ukiwasha kinakuja kibahasha chenye question Mark ila nashindwa Kuinstall mac OS X maana sina installation CD nimeijaribu kucreade bootable usb kupita mac ya kuazima pia transmac ila nashindwa kuiboot coz...
  3. Shaffin Simbamwene

    Msaada wa premium link generator

    Wanabodi kuna material nataka kupakua toka https://depfile.com/ ila nashindwa maana wananitaka niwe premium member. Kama kuna mdau anajua premium link Generator ya kuwapenya hawa jamaa naomba anisaidie tafadhali.
  4. Shaffin Simbamwene

    Pantech cross over inafreeze

    Wakuu nina simu aina ya pantech cross over toka At&t ilikuwa inafanya kazi vizuri tu ila kuanzia jana imeanza kufreeze yaani ukiwasha inatokea ile logo ya pantech afu inaganda hapo haiendelei hata ukijaribu kuizima haikubali hadi uchomoe betri. Wajuzi wa hivi vidude vya...
  5. Shaffin Simbamwene

    Online tv kwa wale wenye nyonyo za ukweli

    HAWA JAMAA WA KIRUSI http://torrent-tv.ru NOUMA KWELI KWELI WAMEACHIA DUDE LA KIMATAIFA (ONLINE TORRENT TV) LENYE ZAIDI YA CHANNEL 200 FOR FREE TENA UNAZIPATA CHANNEL ZAO ZOTE WALIZO ZILIST BILA YA CHENGA. MUONEKANO WA PICHA NI KAMA FUTUBOX ILE YA KULIPIA 1.HD 5-10 (Mbps) 2. SEMI HD...
  6. Shaffin Simbamwene

    Yale madude yetu yapo hewani

    wakuu madude yashachukuliwa na wanaohusika nayo so sitojibu pm zinazoulizia madude. ila wale nilioshare nao kama mmepata njia nyingine za kupitia mabasi msisite kunipa pande
  7. Shaffin Simbamwene

    Ifanye mozilla fire fox kuwa faster kama chrome

    UPDATE Wadau vitu vizuri ule na wenzio. Katika pita pita zangu nimekutana na hii trick inayosaidia kuifanya Fire fox kuwa nyepesi hivyo si vibaya kushare na wengine. Mchezo wenyewe upo hivi:- 1.Type about:config katika address bar kama inavyoonyesha screen shoot then click ok...
  8. Shaffin Simbamwene

    Wala wenye matatizo ya drivers kwenye pc

    WAKUU, wALE WADAU WANAOSUMBULIWA NA KUKOSEKANA DRIVERS F'LANI KWENYE MADUDE YAO WAJARIBU KUSCAN,KUDOWNLOAD NA KUINSTALL DRIVERS ZOTE MUHIMU KWA PC ZAO KUPITIA SOFTWARE HII AMBAYO TAYARI IPO CRACKED
  9. Shaffin Simbamwene

    Huku tunakoelekea mh.....!!!!

    http://www.kabibi.com/index.php?option=com_hwdvideos hare&task=viewvideo&Itemid=106 &video_id=365
  10. Shaffin Simbamwene

    Wapenzi wa damme dude lenu hilo

    Universal Soldier Day of Reckoning 2012 BluRay 720p DTS x264-3Li (download torrent) - TPB
  11. Shaffin Simbamwene

    Ngasa

    Ngasa anadaiwa ni mnazi wa yanga na hiyo ndiyo sababu ya kutimuliwa pale Azam. Je ataweza kuhimili mikiki ya mashabiki wa msimbazi iwapo watapigwa bao na wana jangwa naye mchezo ukawa umemkataa?
Back
Top Bottom