Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
Wakuu nina simu aina ya pantech cross over toka At&t ilikuwa inafanya kazi vizuri tu ila kuanzia jana imeanza kufreeze yaani ukiwasha inatokea ile logo ya pantech afu inaganda hapo haiendelei hata ukijaribu kuizima haikubali hadi uchomoe betri. Wajuzi wa hivi vidude vya android naombeni msaada kwa hili.