Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
Habari Wakuu.
Nina Powerbook g4 ambayo imekufa HDD nimejitahidi kureplace HDD mpya ukiwasha kinakuja kibahasha chenye question Mark ila nashindwa Kuinstall mac OS X maana sina installation CD nimeijaribu kucreade bootable usb kupita mac ya kuazima pia transmac ila nashindwa kuiboot coz flash wala HDD havionekani.
Nimeburn hadi IsO ya OS x Tiger ila shida ipo pale pale nashindwa kuiboot.
Naombeni msaada mwenye idea jinsi ya kufanya installation au mwenye CD please.