Mchanganuo mzuri sana huu unaingia kwenye kila biashara.
Hapo namba 4 kwenye kodi estimates zake zipo juu sana, kwa hair cutting mapato TRA weka 100,000/= kwa mwaka sawa na 8,333 kwa mwezi na 277.78/= kwa siku, na leseni ya biashara (Halmashauri) salon ni 41,000/= kwa mwaka sawa na 3,416.67/=...
Mkulima akijipanga na kufikiria nje ya box, unatoboa, Ila tatizo wakulima wengi tumezoea kuuzia shambani na sio kufikisha sokoni Kwa mlaji wa mwisho, middleman wanafaidi matunda ya Mkulima kwakweli.
Ila muda mwingine ni ukosefu wa mitaji, mtu analima kwa kukopa na anatakiwa kulipa mazao...
Soko la China kwasasa lipo kinadharia sana, madalali wanapambana kulifikia na kwa dalili nionazo watalikamata soko, hapo wakulima tusitegemee saaana kama hilo soko litatutoa maanake si unawajua madalali waakibomgo?.
yote kwa yote soko la ndani la muhogo bado ni kubwa sana, ila sio utegemee...
kwa jinsi bei ilivyoshuka huku mashambani, bora utafiti masokoni upeleke mzigo mwenyewe, pia jaribu kupeleleza soko la pale picha ya ndege Kibaha muhogo mwingi unaingia kutoka maeneo ya kisarawe
Msimu huu nimegundua aheri kwa mahindi usage unga si haba, kwa mara ya kwanza toka nilipoanza kulima mahindi miaka mitano iliyopita nimethubutu kusaga dona, sembe, bada na dona lililochanganywa na bada (makopa) na kupack na ninauza tena kwa order, yaani nikishakusanya order za wateja ndio...
Ukosefu wa Umakini/uzoefu wa usimamizi wa biashara husika ndio tatizo kubwa.
Umenikumbusha duka la wife la vipodozi, lilikua kutoka mtaji wa 2M hadi around 17M, sasa wife akajifungua na mimi nikahamishwa kikazi, shemeji akawepo dukani muda mwingi, duka likafa kibudu, mkopo nikawa naulipa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.