Search results

  1. Tukwazane Taratibu

    Zine el Abidine Ben Ali wa Tanzania anajidanganya hapo magogoni

    ZINE EL ABIDINE BEN ALI ambae alipata kuwa Rais wa Tunisia kwa miaka 24 mfululizo kuanzia alikuwa na figisu figisu kama huyu Ben Ali wa Magogoni ya Tanzania, alijitahidi sana kuudanganya umma na mataifa ya nje kwa zoezi la kura kila baada ya miaka 5 nchini mwake akishinda kwa zaidi ya asilimia...
  2. Tukwazane Taratibu

    Hii ndio melivita hatari ya urusi na ya pili kwa uhatari kwa sasa ulimwenguni

    . Jana wakati nimetoa makala fupi kuhusu melivita ya NIMITZ kuna mdau mmoja aliibuka na kuipinga kwa kusifia Melivita ya urusi ijulikanayo kwa Jina la Admiral Kuznetsov naomba nikamwambia alete data za KUZNESTOV hiyo aache kutulisha maneno yenyewe , mimi ni muumini wa data na ushahidi, yaani...
  3. Tukwazane Taratibu

    Zikiwa zimebaki siku tano kutimia miaka 55 baada ya kutolewa hotuba hii, bado inabakia kuwa hotuba yangu nzuri ya kiharakati

    I HAVE A DREAM SPEECH Martin Luther King Jnr 28-08-1963 I am happy to join with you today in what will go down in history as the greatest demonstration for freedom in the history of our nation. Five score years ago, a great American, in whose symbolic shadow we stand today, signed the...
  4. Tukwazane Taratibu

    Uhuru wa Maoni na Kuabudu: Serikali ya Rais Magufuli itakipata inachokitafuta

    SERIKALI YA MAGUFULI ITAKIPATA INACHOKITAFUTA. Na Josephat K. Nyambeya Kupungua na hatimaye kutoweka kwa uhuru wa kujieleza, kukusanyika, na kupata habari. Kwa mwenendo huu kuna hofu kuwa hata uhuru wa kuabudu uko mashakani. Tulianza kuona Askofu Kakobe akizongwa zongwa baada ya kutoa maoni...
  5. Tukwazane Taratibu

    Serikali ya Magufuli ni maskini wa hoja

    SERIKALI ILIYOISHIWA HOJA HUZAA VIHOJA. Siku hizi ukisikiliza hotuba za Viongozi Wakuu wa Serikali ya Tanzania pamoja na maandiko ya Vyombo vya Habari vinavyoiunga mkono Serikali kama vile Jamvi la Habari, Habarileo, Uhuru nk utasikia au kusoma madai yanayojirudia rudia kuwa kuna Watanzania...
  6. Tukwazane Taratibu

    Polisi wameanza kutupanda vichwani sisi mbwa koko

    POLISI WAMEANZA KUTUPANDA VICHWANI SISI MBWA KOKO. Na Josephat K. Nyambeya Nikiwa bize siku nzima ya leo bila ya kufungua data kuona kuona kinachoendelea duniani ile nafungua tu nakutana na habari ya kusikitisha sana kutoka Tarime-Mara. Habri hii imenipandisha hasira kwa kiasi cha mbwa...
  7. Tukwazane Taratibu

    Serikali imeanza vita itakayoshindwa kabla jogoo hajawika

    SERIKALI IMEANZA VITA ITAKAYOSHINDWA KABLA JOGOO HAJAWIKA, KULAZIMISHA WAMILIKI WA BLOGU, MAJUKWAA YA MITANDAONI, REDIO NA TV ZA MITANDAONI KUJISAJILI “TCRA”NI KWENDA VITANI BILA KUJUA UWEZO WA ADUI WAKO. Na Josephat K. Nyambeya Kanuni ya 4 ya maudhui ya mitandaoni ya mwaka 2018 (The...
  8. Tukwazane Taratibu

    Umelala Keneth Matiba umetuachia Tundu Lissu

    Na Josephat K. Nyambeya Waswahili wana msemo usemao, "Msasi haogopi mwiba" kwa Kingereza ikimaanisha a hunter is not afraid of thorns. Katika kitabu chake cha Dark side of Nyerere's legacy mzee Ludovick Simon Mwijage ameandika yafuatayo nanukuu kwa tafsiri yangu ya Kiswahili " Tatizo la ya...
  9. Tukwazane Taratibu

    Ripoti ya CAG siyo Serikali, CCM wala CHADEMA wote manje ga nyanza. Nani wa kumfunga paka kengele?

    Na Josephat K. Nyambeya Wiki nzima inayoisha leo kumeibuka mjadala mkali bungeni na mitaani juu ya ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (Controller and Auditor General) kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Prof Mussa Juma Assad ametoa ripoti katika nyanja mbalimbali zikiwemo hesabu za serikali...
  10. Tukwazane Taratibu

    Tujenge mifumo imara badala ya kuwajenga akina "Makonda" dhaifu wa muda mfupi

    Na Josephat K. Nyambeya Muda mfupi uliopita nilikuwa napitia makabrasha ya maandishi ya watu wengine vitabuni na mtandaoni nikakumbana na andiko moja lililonivutia sana. Andiko hili linahusu aina 16 za watu duniani, mwandishi wa andiko hilo amejitahidi sana kuelezea na kudadavua aina 16 za watu...
  11. Tukwazane Taratibu

    Abdul Nondo amewapiga "KO" maofisa Uhamiaji

    Wiki kadhaa zilizopita niliandika ya kwamba sakata la Abdul Nondo litawavua nguo serikali na jeshi la polisi na hakika inaenda kutimia. Leo mwandishi mzoefu Luqman Maloto ameandika machache kuhusu sakata hilo. Idara ya Uhamiaji ilimtaka Abdul Nondo athibitishe uraia wake kwa kuwasilisha cheti...
  12. Tukwazane Taratibu

    Je, ni kweli mafisadi ndio walikuwa watoa sadaka wakubwa makanisani?

    Na Josephat K. Nyambeya Nimejaribu kutafuta maana ya neno 'FISADI" kama ambavyo Magufuli amekuwa akilitumia mara nyingi katika hotuba zake nimeona kamusi ya Kiswahili ikilifafanua kwa maana ya mfujaji wa mali maana zingine zikiwa ni mtongozaji, mharibifu, mpotevu, mwasherati, mbadhirifu...
  13. Tukwazane Taratibu

    Kila nikimsikia kadinali Pengo namuona Padri Wenceslas Munyeshyaka wa mauaji ya kimbari ya Rwanda 1994

    Na Josephat K. Nyambeya Wiki hii imeanza kwa matukio mbalimbali ikiwemo tukio baya kabisa lililomkuta kijana mdogo muendesha bajaji wa kata ya Iyela jijini Mbeya anaesemekana kufariki mda mfupi baada ya kuachiwa na polisi waliokuwa wamemkamata kwa makosa yanayodaiwa kuwa ya uzururaji (sijawahi...
  14. Tukwazane Taratibu

    Kesi ya Abdul Nondo itawavua nguo Serikali na Jeshi la Polisi mchana kweupe

    Mimi ni mpenzi wa Mwanafizikia wa zamani Albert Einsten (Baba wa mabomu ya nyukilia/atomiki duniani), zamani kidogo baada ya msomi huyu wa Kiyahudi kuikimbia Ujerumani na kutimkia Marekani alikumbana na vikwazo mbalimbali alipokuwa katika harakati zake za ugunduzi wa urutibishaji wa atomiki...
  15. Tukwazane Taratibu

    Nini tunapaswa kufanya ili kumthibiti "Mtawala" anaetunyanyasa?

    Na Josephat K. Nyambeya Wakati nikiwa shule ya msingi nilipata kusikia methali moja ikisema. Mnywa maji kwa mkono moja, kiu yake i pale pale kwa Kingereza "He who drinks water with one hand remains thirsty." Kwa kipindi kile sikuweza kujua maana yake haswa, nilikuwa na kazi moja tu ya kukariri...
  16. Tukwazane Taratibu

    Wapi zilipo ofisi za kampuni ya MOTA ENGIL iliyopewa kazi ya kujenga reli ya standard geji nchini?

    Wakuu habari zenu? Kuna kampuni ya Kireno iitwayo Mota Engil imepewa tenda na serikali ya Tanzania kujenga reli ya SGR kutokea Dar hadi Moro na nimeona imetangaza nafasi za kazi kupitia gazeti la The Guardian lakini E-mail waliyoitoa kwenye gazeti lile na hata kwenye blogs na websites...
  17. Tukwazane Taratibu

    Dalili kuu za kufeli kwa Rais Magufuli

    Wasalamu wana JF. Kwanza kabisa nianze kwa kujifuta machozi na kuionea huruma nchi yangu ya Tanzania kwa kufika huku ilipofika kwa sababu ya ukosefu wa umakini katika chaguzi na teuzi za viongozi. Tumekuwa ni nchi yenye mfumo mbaya na wa kijinga wa uchaguzi wa viongozi na hata mfumo ya...
  18. Tukwazane Taratibu

    Lifahamu kundi hatari na lenye misimamo mikali la dola ya kiislamu (islamic state), isil/isis/is.

    Nami Josephat Keraryo Nyambeya. Kikundi cha Dola ya Kiislamu maarufu kwa jina la Islamic State of Iraq and Levant (ISIL), Islamic State of Iraq and Syria (ISIS), Islamic State (IS) pia hujulikana kwa jina la Daesh ni kikundi cha Jihadi ya Salafi kinachofuata msingi wa Wahhabi katika madhehebu...
  19. Tukwazane Taratibu

    Hii ndio Ndege Tupolev Tu-160, hatari ya kivita inayoumiza vichwa maadui

    Nami Josephat Keraryo Nyambeya. Kama nilivyoahidi juzi baada ya kutoa uchambuzi kiduchu juu ya bomber (B-2) ya Marekani nilisema nitakuja na uchambuzi kiduchu juu ya Tu-160 kutoka Urusi ili kuleta balansi juu ya ushindani uliopo kati ya hawa mabwana .Leo ningependa kuendelea na ule uandishi...
  20. Tukwazane Taratibu

    Hii ndio ndege B-2 Spirit Steath Bomber, hatari zaidi ya kivita duniani

    B-2 bomber ndio ndege hatari zaidi ya kivita kuwahi kutengenezwa duniani, ndege hii hujulikana sana kwa jina la (Popo) kwa sababu inafanana na popo kiumbo. Ilianza kutengenezwa kipindi cha vita baridi na utengenezaji wake ulitunzwa kwa siri kubwa ambayo haijawahi kuvuja hadi leo. (B-2) ni kifupi...
Back
Top Bottom