Search results

  1. Mwita Maranya

    Tutafikia Estado Novo bila udikteta...Sehemu ya 1

    Asalam aleikum "wananzengo". Ni siku nyingi sana sijashiriki mijadala hapa JF lakini nimekuwa msomaji zaidi. Kutokana na mihemko ya kisiasa inayoendelea hapa nchini upotoshaji umekuwa ni mkubwa sana na watanzania wengine bila kutafakari wamekuwa wakilipuka na kufuata mizuka ya viongozi bila...
  2. Mwita Maranya

    Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

    MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA ALIVYODHALILISHWA NA SERIKALI YA MAGUFULI Makamanda pipozzzzz! Jana nilipokea mwaliko wa maneno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya kupitia kwa Mkurugenzi wangu Manispaa ya Ilala wakinitaka niungane nao leo (jana) kwenye ziara ya Raisi Kinýerezi kuweka jiwe la msingi la...
  3. Mwita Maranya

    WAITARA kuzindua Kampeni za Ubunge Jimbo la Ukonga

    Wadau wa JF habari za siku nyingi, naamini ya kwamba afya zenu ni nzuri sana. UZINDUZI WA KAMPENI YA UBUNGE JIMBO LA UKONGA. Napenda kuchukua nafasi hii kutoa taarifa/wito kwa Wana Ukonga, Mnakaribishwa sana kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge jimbo la Ukonga kwa...
  4. Mwita Maranya

    CCM Yaanzisha Chama Kipya Cha Walimu Baada ya Kushindwa Kumng'oa Mkoba CWT

    Salam Wana JF. Natambua kuwa kwa wakati huu watanzania wengi wametega masikio yao wakifuatilia watangania wa uraisi kupitia chama cha mapinduzi. Nami pia nafuatilia kuona ni kwa namna gani makada wa ccm wanavyoivua nguo serikali yao kama walivyofanya Lowasa, Mwigulu (huyu amecopy sera za...
  5. Mwita Maranya

    Lowassa apigwa Stop kwa Mwl. Nyerere Butiama

    Salam Wana JF. Taarifa za Uhakika zilizonifikia hivi punde ni kwamba msaka uraisi Mbunge wa Monduli Edward Lowasa amepigwa 'stop' asifanye maigizo ya kisiasa katika msiba wa Mtoto wa Mwalimu Nyerere, John J.K Nyerere ambaye anazikwa leo Kijijini Mwitongo, Butiama. Lowasa kupitia kwa...
  6. Mwita Maranya

    Kutoka Anatouglo Ilala: Uapishaji Wenyeviti wa Mitaa Mkurugenzi na Meya Wakumbana na Nguvu ya Umma

    Salaam Wana JF na Kheri ya Mwaka Mpya wa 2015. Baada ya Salam hizo naomba niwashirikishe kidogo muendelezo wa uhuni wa ccm kupitia kwa wakurugenzi wa halmashauri pamoja na viongozi wengine wa kiserikali. UHUNI UNAOFANYWA NA MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA AKISHIRIKIANA NA JERRY SILAA: Kwanza...
  7. Mwita Maranya

    Zion Daughter apata mtoto, a baby girl

    Ndugu wadau wa MMU. Napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa mwana JF mkongwe Zion Daughter amebarikiwa kupata mtoto wa kike hivi leo katika hospitali moja hapa jijini Dar es salaam. Mama na mtoto wanaendelea vizuri kiafya na kiroho. Napenda kutumia nafasi hii kumpongeza sana binti...
  8. Mwita Maranya

    Madiwani Ilala Wafuja Fedha za Umma, Miradi ya Maendeleo yakwama

    Asalam aleikum wana JF. Wakati manispaa ya Ilala ikikabiliwa na changamoto kubwa ya kuwa na miundombinu mibovu katika sekta ya Barabara, Maji, Elimu, Afya na Biashara/Masoko; madiwani wake wameshindwa kutambua umuhimu wake na badala yake wamekuwa wakitumie fedha nyingi za walipa kodi katika...
  9. Mwita Maranya

    CHADEMA yawasha moto Mwenge Stand, Wamachinga wawashukuru kwa mkutano huo

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)wilaya ya Kinondoni wameandaa mkutano wa hadhara unaofanyika wakati huu Jirani kabisa na stendi ya Mwenge. Kati ya mambo yaliyojitokeza katika mkutano huo wakati unaanza ni wafanyabiashara ndogondogo (Wamachinga) kuishukuru Chadema kuamua kufanya...
  10. Mwita Maranya

    Hatimaye nimerudi tena... Baba Zion Daughter is back on stage...

    Wadau wote wa MMU asalam aleikum... bwana Yesu asifiwe... Amang'ana ghenyu...habari zenyu...mwangaluka kinehe lolo...wagambaki waitu...mpola zani...habari zenyu bwanshee...saita...ndaga fijo naloli na fuso... Napenda kutumia fursa hii kuelezea furaha yangu kwamba baada ya kimya cha muda mrefu...
  11. Mwita Maranya

    CHADEMA Tunakwenda Kalenga Kushinda Uchaguzi, If and Only If…

    Salaam WanaJF. Kama mjuavyo pilikapilika za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga zimeshaanza na muda si mrefu kampeni zitaanza rasmi. Tunakwenda kwenye uchaguzi wa Kalenga mara tu baada ya kumaliza uchaguzi katika kata 27 uliofanyika 09/02/2014. Nimeambiwa pia kuwa pilikapilika za Jimbo la Chalinze...
  12. Mwita Maranya

    CHADEMA tumeshindwa Vibaya Uchaguzi huu, Tunahitaji tathmini ya kitaalamu…

    Salaam WanaJF, Jana kumefanyika uchaguzi mdogo katika kata 26 (kata 1 uchaguzi haukufanyika baada ya mgombea wa ccm kubaki peke yake bila mshindani) na hadi sasa matokeo yameshajulikana kwa kila mmoja wetu. Bila shaka wakati huu kila chama kitakuwa kinatafakari ni kwasababu gani...
  13. Mwita Maranya

    Diwani wa CHADEMA Aswekwa ndani kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya

    Wadau wa JF, Salaam. Taarifa za uhakika kutoka mjini Mugumu Wilayani Serengeti zinapasha kuwa diwani wa kata ya Stendi Kuu Mwalimu MARWA RYOBA (CHADEMA) ameswekwa ndani kwa amri ya mkuu wa wilaya. Kadhia hiyo imemkumba diwani huyo ambaye pia ni maarufu sana mjini Mugumu kwa juhudi zake na...
  14. Mwita Maranya

    Halima Mdee Live Ndani ya Ukonga Jumapili hii...

    Salam wadau wa JF. Ningependa kuwafahamisha kuwa kesho Jumapili ya tarehe 12/01/2014 kutakuwa na mkutano wa hadhara utakaofanyika mtaa wa MAZIZINI Kata ya UKONGA Jimbo la Uchaguzi la UKONGA. Mkutano huo unatarajiwa kuanza muda wa saa Nane kamili mchana katika viwanja vya ofisi ya Serikali...
  15. Mwita Maranya

    CHADEMA NI MSINGI: UKONGA Kuzindua Misingi Jumapili hii

    Wadau hii ni taarifa nime copy FB kutoka kwenye wall ya Nyahende Thomas (Mwenyekiti wa Chadema Kata ya Ukonga) na kui paste hapa kama inavyosomeka hapa chini. CHADEMA NI MSINGI KAZI INAENDELEA, JUMAPILI TAREHE 12/01/2014 TUNAFUNGUA MISINGI TAWI LA MAZIZINI NA BAADAE JIONI NI MKUTANO WA...
  16. Mwita Maranya

    Chadema Kuwasha Moto Ukonga, Ufisadi Mtaa wa Mongolandege kuwekwa hadharani

    Wadau wa JF nawasalimu na habari za siku kadhaa. Nimekuwa busy kidogo tunapoelekea mwisho wa mwaka lakini harakati za kukijenga chama chetu pendwa, tumaini la watanzania zinaendelea kama kawaida kadri nafasi inavyopatikana. Kesho tunatarajia kuwa na mkutano wa hadhara katika mtaa wa...
  17. Mwita Maranya

    Ukatili wa Kijinsia kwa Wanawake, Sasa tuseme inatosha

    Wadau wangu wa MMU habari zenu. Sina uhakika sana kama hii mada hapa ndipo mahali pake sahihi lakini nadhani sio vibaya tukisaidiana katika hili nalotaka kuliandika, na kimsingi naliandika kwa ufupi sana kwakuwa nimekereka sana na hivi vitendo vya ukatili kwa wanawake vinavyofanywa na...
  18. Mwita Maranya

    Kujiuzulu kwa Mzee Said Arfi: Somo jingine kwa Chadema

    Wasalaam wana JF. Wakati tukiendelea kutafakari uamuzi wa kuvuliwa madaraka kwa naibu katibu mkuu wa Chadema Zitto Kabwe (mb), Mjumbe wa kamati kuu Dr. Kitila Mkumbo na Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Samsoni Mwigamba, Makamu mwenyekiti wa Chadema Tanzania bara mzee Said Amour Arfi (mb) naye...
  19. Mwita Maranya

    Mwigulu Nchemba "Kumlima" Barua Kinana...?

    Salam ndugu wanaJF. Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wakishawishika kujiunga katika shughuli za kisiasa hapa nchini. Mwamko huo wa vijana kujiunga katika shughuli za kisiasa umepelekea vyama vya kisiasa kutafuta namna bora ya kuwavutia na kuwashawishi vijana kujiunga na vyama...
  20. Mwita Maranya

    Ndani ya Nyumba- Nairobi, Mko powa "Machalii"...?

    Habari zenu ndugu wanaJF wa Kenya. Ningependa kuwafahamisha kuwa niko Nairobi hadi next Monday. Kwa wale watakaokuwa na nafasi na wangependa tuonane basi naomba wanaiandikie PM ili tuelekezane namna ya kukutana. Nitafurahi sana kukutana na rafiki zangu Kabaridi, livefire, Ab-Titchaz...
Back
Top Bottom