Search results

  1. Asili100

    Mabeki tatu kumbe wamo kwenye mauno...

    Habari za mapumziko marefu wakuu? Katika haya mapumziko na mimi nilipata kualikwa pahala kwenye family day ya moja ya makampuni makuuuuuubwa tu hapa nchini na jinsi tulivyoshehereheshwa naweza kusema wenzetu hawa si haba katika msuko suko huu wa uchumi (makampuni mengi yamekata garama kama hizi...
  2. Asili100

    Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

    Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana kuichora au? Wajuzi naombeni msaada Pia Soma> Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa...
  3. Asili100

    Mashine ya kupikia bisi(POP CORNS)

    Habari wakuu, naombeni msaada kujua mahali nitakapoweza kuzipata hizi mashine na ikiwezekana kujulishwa bei nitafurahi zaidi. Asante nawasilisha
  4. Asili100

    msaada juu ya adobe/pdf

    habari zenu wandugu, naombeni msaada jinsi ya kucreate file la adobe/PDF
  5. Asili100

    Utajuaje kama mwanamke anakupenda

    pointi ipi mmeikubali wakuu??
  6. Asili100

    to the fallen Fathers

    Leo namkumbuka baba yangu mzazi aliyenitoka mwaka 1996 tarehe kama ya leo nikiwa kinda kabisa, pamoja na ukinda wangu bado nakumbuka ucheshi, uwajibikaji, ukali wa mafunzo na ubaba wa ukweli kwangu maana alinikuza katika maadili bila hata ya mama kuwepo hakupata shida nami hakuwahi kuona mzigo...
  7. Asili100

    Msaada kwa watumiaji wa bbm

    Habari ya saa hii wakuu... Kwa wanaotumia bbm naomba msaada, nabadilisha dp (zaidi ya 10) ila watu walioko kweny contacts zangu wanasema hawaoni changes, dp wanayoiona wao ni ya mandela ambayo me niliweka wakati uleeee wa msiba wa nguli wetu huyu.... Naombeni msaada
  8. Asili100

    Habari mpya napata JF

    Good morning ladies and gentle men wa hapa jamii forums.... napenda kuleta shukrani zangu za dhati na naona hii ni nafasi ya pekee kua member wa huu mtandao mkubwa wa jamii... kilichonleta hapa leo hii ni appreciation za wadau kuleta habari na matukio yanayotokea muda huo huo ambao huwez pata...
  9. Asili100

    Hili neno ni kiboko; fanyia mazoezi ulimi wako

    hili ziwa lipo huko Marekani, jina lake ni Chargoggagoggmanchauggagoggchaubunagungamaugg, watu wamekua wakiliandika tu huku wakishindwa kulitamka.... dunia ina mambo.
  10. Asili100

    Tra calculation kwa anayejua jamani

    asalam alekum waungwana..... nina kijiswali kidogo hapa kinanitatiza... kama kuna mtu anajua TRA calculation za kodi anichakachulie hii, mfano gari ya mwaka 2004 toka Japan yenye injini 2000cc inauzwa $2,500(CIF), JE hadi niipak pale home nitahitajika shilingi ngapi jumla?? hilo mosi, pili ni je...
  11. Asili100

    Nabadilishaje profile name yangu??

    Naombeni msaada wana jf, nataka kubadili jina langu la uanachama hapa jf, nafanyeje?? Naombeni steps za kufanya
Back
Top Bottom