Search results

  1. lidoda

    Msema kweli kasema waziwazi

    Msema kweli kasema waziwazi kuwa hakuna ukame nchni na kwamba ni yeye tu atakaye tamka kama kuna ukame. Sasa huyu kiranja wetu wa mifugo na mazao, wakuu wa madhehebu wanasema kuna ukame. Hawa wakuu wa madhehebu wamefika mbali na kusema kuwa tuombee dua na tufunge kusudi tuepuke na janga hili...
  2. lidoda

    Hela zote hizi Za kubana matumizi zimekwenda wapi

    Hela zote hizi zimekwenda wapi? 1.Kama alivyodai kuwa "amepunguza" ukubwa wa Baraza la Mawaziri kubana matumizi. 2. Kafuta safari za nje 3.Kafyeka wafanyakazi hewa 4. Kafyeka wanafunzi hewa 5. Kakataza ajira mpya Na tunaambiwa mabilioni na huenda matrilioni yameokolewa, sasa hizi hela zote...
  3. lidoda

    Msaada juu ya Ndago

    Ni kwa bahati mbaya nilipojaza kifusi ndani ya garden yangu kumekuwa na ndagu nyingi sana. Hizi ndagu inaonekana zililetwa na hicho kifusi.Nimejaribu kuzign'oa lakini bado zipo na zimenikatisha tamaa jinsi ya kuziua.. Kwa wale wenye ushauri naomba mnishauri kusudi niziue hizi ndagu...
  4. lidoda

    Msaada juu ya Pal secom na NTSC

    Rafiki yangu ambae anaishi Marekani anataka kunizawadia TV kutoka huko yenye kutumia NTSC ambayo ameshainunua na sisi hapa Tanzania tunatumia Pal secom...Nikamwambia asubiri mpaka nipate maarifa kutoka JF members ndio aniletee Swali langu je kuna converters zozote ambazo zinaweza kunifanya...
  5. lidoda

    Texas Scientific calculator

    Wanajamii kama kuna mtu anafahamu wapi na bei gani Texas scientif calculator aniambie…Naitafuta sana…Naomba msaada wenu
  6. lidoda

    Tanzania elections not credible, says European Union

    source http://www.standardmedia.co.ke/mobile/article/2000181004/tanzania-elections-not-credible-says-european-union?pageNo= Dar es Salaam: European Union (EU) observers have expressed reservations on the transparency of the Tanzanian elections. At a press conference, the observers...
  7. lidoda

    Msaada: Kujitoa Ukurungenzi kisheria

    Wakuu mimi ni mmoja wa wakurugenzi wa kampuni fulani. Tuko wakurugenzi kama wanne. Tatizo liko katika uendeshaji wa kampuni yetu ambayo ni Limited. Upeo wetu wetu umetofautiana na mara nyingi huwa kampuni haifanyi kazi vizuri ya kupata faida inayotakiwa. Sababu hiyo nilioitaja hapo juu...
  8. lidoda

    Wana UKAWA New York?

    Nilitaka kujua kama kuna wana Ukawa wapo Marekani na hasa New York…Kama wapo tuwasiliane tafadhali kusudi tubadilishane mawazo
  9. lidoda

    Mohammed Emwazi: Jihadi John's schoolfriend recognised eyes of ISIS butcher in beheading videos

    A former schoolmate of barbaric Mohammed Emwazi has told of his horror of learning the unmasked killer was his teenage friend. The 27-year-old, who asked not to be named, spoke of the Islamic State butcher known as Jihadi John who has beheaded at least five western hostages. He said: "I...
  10. lidoda

    Tanzania ni nchi ya 93 kwa uzalishaji wa mafuta..by CIA

    Jamani hizi breaking news kea mini serikali haijatuambia kuwa tunazalisha mafuta kiasi hiki 10bbl/day SOURCE Oil Production by Country
  11. lidoda

    Dk. Slaa apokea kijiti Oparesheni Delete CCM

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Taifa, Freeman Mbowe, amehitimisha ngwe yake ya ziara ya Operesheni ‘Delete' CCM, akikabidhi kijiti kwa Katibu Mkuu Dk. Willibrod Slaa, huku akiendelea kusisitiza kuwa salama ya nchi kuepukana na anguko kubwa ni chama kilichoko...
  12. lidoda

    Makonda ajipalia makaa

    Makonda ajipalia makaa CCM wakwepa, JK ampiga kijembe Warioba kiana Wapinzani, wanaharakati wachachamaa, polisi hmm Makonda ajipalia makaaSIKU moja baada ya Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Paul Makonda kuongoza genge la...
  13. lidoda

    Nyumba ya mil. 89/- yamtatiza DC

    Nyumba ya mil. 89/-MIRADI ya ujenzi katika Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, imeghubikwa na tuhuma za ufisadi, ambapo hivi karibuni imekabidhiwa nyumba ya mwalimu yenye vyumba viwili vya kulala na sebule, ikitajwa kugharimu sh. milioni 89, jamba ambalo limeibua utata na kumlazimu Mkuu wa wilaya...
  14. lidoda

    Vita ya ubunge yaingia kashfa Miss Tanzania

    Miss Tanzania 2014 na baba yake, Abbas MtemvuWAKATI mtoto wa mbunge wa Temeke, Sitti Mtemvu akiandamwa na kashfa ya kughushi umri baada ya kushinda Miss Tanzania 2014, baba mzazi wa mrembo huyo, Abbas Mtemvu, ameibuka na kudai sakata hilo ni vita ya kisiasa inayoratibiwa na wapinzani wake ndani...
  15. lidoda

    Lissu: Marehemu amepiga kura Katiba ya Sitta

    Tundu LissuMWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema mchakato wa kutengeneza katiba mpya ni wa kihistoria kwani jina la marehemu lilipiga kura. Akifafanua kauli hiyo alisema jina la mjumbe Shida Salum aliyefariki dunia Julai mwaka huu, limo kwenye orodha ya...
  16. lidoda

    Zitto kung’oka CHADEMA

    MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), inadaiwa yupo katika hatua za mwisho kujiengua ndani ya chama hicho alichojijengea sifa kubwa Kwa mujibu wa watu walio karibu na Zitto, wamelidokeza Tanzania Daima Jumapili, kuwa mbunge huyo alipanga kujiondoa ndani ya chama hicho mwezi...
  17. lidoda

    Ulaya wasikitishwa mchakato Katiba

    UMOJA wa Ulaya (EU), umesikitishwa na Tanzania kutoitumia fursa ya uundwaji wa Katiba mpya kuiondoa adhabu ya kifo. EU, imeeleza hayo jana katika taarifa yake kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku ya kupinga adhabu ya kifo na kueleza kuwa, itaendelea kupaza sauti hadi...
  18. lidoda

    Pinda ampinga Kikwete

    Pinda ampinga Kikwete Watofautiana kuhusu muda wa kura ya maoni Takwimu za theluthi mbili ya Sitta zaleta utata 05/10/2014 | Pinda ampinga KikweteSIKU chache baada ya Bunge Maalum la Katiba kupitisha kwa mbinde katiba inayopendekezwa, Tanzania Daima Jumapili, limedokezwa kuwapo kwa mpasuko...
  19. lidoda

    Sitta sura yako utaificha wapi???

    ccm mmekataliwa Misikitini ccm mmekataliwa Makanisani ccm mmekataliwa na UKAWA ccm mmekataliwa na Wana harakati ccm mmekataliwa na Wasomi ccm mmekataliwa na Wenye nchi ccm mmekataliwa na Serikali ya Zanzibar ccm mmekataliwa na Wana CCM wenyewe ndan ya Bunge ccm mmekataliwa na familia...
  20. lidoda

    Mwanasheria Mkuu Z’bar akataa rasimu ya Sitta

    Mwanasheria Mkuu Z'bar akataa rasimu ya Sitta Wenzake wamwita UKAWA, wataka kumpa kipigo Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman na askari nje ya BungeMWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, jana alinusurika kupigwa na wajumbe wenzake wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya...
Back
Top Bottom